Utawala mpya wa Syria wainyang'anya Urusi dili la kuchapisha fedha zake, wawapa Ujerumani na UAE

Utawala mpya wa Syria wainyang'anya Urusi dili la kuchapisha fedha zake, wawapa Ujerumani na UAE

Urusi hushobokea makobaz, haya sasa
 
Dunia inaegemea east .. wakati watu wanapambana kuingia east jamaa anahangaika na west atakuja kujuta baadae huwwzi kuweka mayai yako yote kwenye kapu moja usa sio mshiriki wa maana kwa sass
 
Kipindi hiki alikuwa bado mwanachama wa al-qaeda baadaye alijiengua huko ndo akaunda kikosi kingine kilichokuja kumfurusha Assad. Kwa sasa US hawana shida naye ndo maana Trump kaondoa vikwazo kwa Syria
Ujinga
 
[emoji38][emoji38] Mkiambiwa US anatengeneza hayo magaidi muwe mnaelewa.
.................Na magaidi anaowatengeneza ni waislam tu watu wa imani zingine mbona hawakubali..!!??😛😛😛
 
Back
Top Bottom