Nan anabisha kwan ? Ila catalyst ni utawala mbov[emoji38][emoji38] Mkiambiwa US anatengeneza hayo magaidi muwe mnaelewa.
Kipindi hiki alikuwa bado mwanachama wa al-qaeda baadaye alijiengua huko ndo akaunda kikosi kingine kilichokuja kumfurusha Assad. Kwa sasa US hawana shida naye ndo maana Trump kaondoa vikwazo kwa Syria
Mawazo ya kitumwa kabisa haya.Hivi vita hatari sana.
Huyu muafrika mwenzetu Traore ni kama amejichnganya kuwa karibu na Mrusi.
Urusi imepata mtawala mpya π€Huyu mtawala mpya wa Urusi ameamua kujitenga kabisa na Urusi na Iran
UjingaAmetubu, ameshasafishwa na kutakaswa.
UjingaKipindi hiki alikuwa bado mwanachama wa al-qaeda baadaye alijiengua huko ndo akaunda kikosi kingine kilichokuja kumfurusha Assad. Kwa sasa US hawana shida naye ndo maana Trump kaondoa vikwazo kwa Syria
Kamsaidie wewe uliyewahi kuamka.Mawazo ya kitumwa kabisa haya.
Naona umechelewa kuamka,Dunia imeshapinduka hii.
.................Na magaidi anaowatengeneza ni waislam tu watu wa imani zingine mbona hawakubali..!!??πππ[emoji38][emoji38] Mkiambiwa US anatengeneza hayo magaidi muwe mnaelewa.