Utawala wa Awamu ya 5 kulikuwa na kampeni ya wazi ya kutaka aliyekuwepo aongoze milele, Sababu hasa ya kampeni hii ilikuwa nini?

Kwa Hali inavyoenda Sasa ni Bora magufuli angetawala miaka 20 angetuacha kama ulaya,,,,mama kapyaya na washauri wake wengi hawana sifa za kiongozi ni wapambe tu
 
Kwa Hali inavyoenda Sasa ni Bora magufuli angetawala miaka 20 angetuacha kama ulaya,,,,mama kapyaya na washauri wake wengi hawana sifa za kiongozi ni wapambe tu
We ni mtu dikiteta....ishia huko huko kwenye familia yako.
 
Kuna wajanja waliokuwa wananufaika na utawala ule wakawa wanawatumia wapiga mbinja inawezekana hata wapiga mbinja hawakujua kama wanatumiwa.
Mfano wale waliokuwa wanachukua fedha za watu kwa nguvu.
 
Siasa za Tanzania kwa kiasi kikubwa ni za kuangalia watu, si za kuangalia sera.

Nilisikitika sana kuona Rais Ali Hassan Mwinyi (RIP) naye kashadadia ujinga huu.
Alimradi mwanae anafyonza kuku kwa mrija na alisaidiwa kukalia kiti kule mzee wa watu angekataaje?
 
Yeah ni kweli Mkuu

Wapambe walikuwa tayari Mwamba aendelee hata miaka 20 zaidi 😅
 
Yeah ni kweli Mkuu

Wapambe walikuwa tayari Mwamba aendelee hata miaka 20 zaidi 😅
Unadhani kisheku angeweka pingamizi? Unadhani gwajima angeweka pingamizi? Kabudi? Mhagama? Simbachamwene? Nani angepinga?
 
Hizo zilikua propaganda za wale waovu kujustify matendo yao.
 
Alimradi mwanae anafyonza kuku kwa mrija na alisaidiwa kukalia kiti kule mzee wa watu angekataaje?
Mkuu,

Unafikiri kweli kabisa Mwinyi kawa motivated na ulaji, na si kwamba hajaamini kikweli kabisa bila kujali ulaji kwamba Magufuli angefaa kukaa madarakani beyond term limits?

Unahakikishaje Mwinyi alikuwa motivated na career ya mwanawe na si kuamini kwa ukweli kabisa kifalsafa kwamba Magufuli ni mwamba anayefaa kuongezewa muda?
 
Nakiri kabisa kwa sababu ni mwendelwzo wa kulinda circle ya ulaji kwa vizazi vyao vya mbele.
how to hug a porcupine
 
Nakiri kabisa kwa sababu ni mwendelwzo wa kulinda circle ya ulaji kwa vizazi vyao vya mbele.
how to hug a porcupine
View attachment 2938427
Hujahakikisha, hujathibitisha, umeweka conspiracy theory.

Mwinyi was a senile man, who was never such a great constitution buff even in his heyday.

Mtu wa kupenda kuongoza nchi kama Harun Rashid kuliko kwa katiba.

Why do you think naturally he would care so much about the abstract principles of the constitution compared to what he deems as very practical matters?
 
Nje ya mada , inasikitisha sana kwa vijana wa ccm kukosa hoja kabisa hapa Jf kiasi cha kutia aibu .
Hoja iko wapi na mwenyewe alishasema hataki kuongeza hata dk moja madarakani sio kama mbowe ukizungumzia nafasi yake kesho unasalimia kuzimu!
 
yaani aongoze milele kama chairman Mbowe au 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…