Utawala wa Awamu ya 5 kulikuwa na kampeni ya wazi ya kutaka aliyekuwepo aongoze milele, Sababu hasa ya kampeni hii ilikuwa nini?

Nje ya mada , inasikitisha sana kwa vijana wa ccm kukosa hoja kabisa hapa Jf kiasi cha kutia aibu .
Sasa wewe una hoja gani? mbowe hadi sasa anatawala milele ebu tumbie utofauti wa kagame, m7n, putin na mbowe ni upi?

utofauti ni macho tu kuwa ya mbowe ni makubwa wengine ni madogo uroho na tamaa ya madaraka ni ileile.

samahani kwa usumbufu mtoa mada sina chama
 
Sasa mke wako asiolewe ili iweje ?
 
Back
Top Bottom