Utawala wa Ayatollah ni muovu sana ila Marekani na Israel wanajichanganya sana pia

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kabla ya Trump kuingia madarakani awamu ya kwanza, Obama alikuwa amefanikisha kupatikana kwa makubaliano ya udhibiti wa nuclear Iran yaliyojulikana kama Joint Comprehensive Plan of Action(JCPOA) mwaka 2015 ambayo ilikuwa ni kuhakikisha Iran inarutubisha uranium kwa matumizi ya kiraia tu ya nishati ili kuondolewa vikwazo na kupewa pesa zake zilizokuwa zimeshikiliwa katika benki za West. Ripoti huru za ukaguzi za kimataifa zilionyesha Iran ilikuwa ikizingatia makubaliano hayo, ikifanya urutubishaji wa uranium wa kiwango cha kati kwa 20% kama walivyokubaliana.

Alipoingia mendawazimu Trump, mwaka 2018 akafutulia mbali makubaliano hayo na kumtukana sana Obama kwamba alikuwa hajui anachofanya na kwamba alikuwa anawapa Iran pesa za kufadhili ugaidi, kufuatia hatua hiyo Iran nayo ikaongeza urutibishaji kufikia 60% huku ikiendeleza vurugu zake za ufadhili wa ugaidi. Sasa Netanyahu na Trump wameibuka tena wakipiga kelele kwamba Iran iko njiani kuunda silaha za nuclear kutokana na urutibishaji huo mkubwa wa uranium!
 
Untitled (1).png
 
Hawa watu hakuna anayewaamini, Walimfanyizia Saadam Hussein wakasema anasilaha za maangamizi ili tu wapate sababu ya kumtandika.

Na walimpiga sana yule mshua wa kiajem mpaka akakimbilia kwenye maandaki lakini wanaye mpaka waka mdedisha kidenzi hivyo hivyo.

Sasa wansema Iran amerutubisha mahitaji ya Nuclear, hakuna mwenye ushahidi huo, Taarifa yao na hakuna mthibitishaji wa hizo taarifa wakaamua kuanza kumpa vibao Ayatollah.

Na hata wakipewa ushahidi kwamba hakuna kitu kama hicho kwa sasa hawatakubali kwasababu nia yao ni kumpiga na kumuondoa kwasababu kawagomea matakwa yao.

Hawa jamaa wakikuamulia wanakuanzia mbaaali ili tu dunia iamini kwamba wewe ndiye mkosefu.

Ndiyo Iran ilikuwa inafadhili magaidi lakini si waliisha yadhibiti, kwanini wampandie juu mwenzao?

Wamewatandika HAMAS,Hezboullah, Hoithi, na ISIS wamewamaliza.

Irani walikuwa wanamuangalia tuu anajichanganya mpaka wakaamua sasa penalti ipigwe utake usitake.
 
Kabla ya Trump kuingia madarakani awamu ya kwanza, Obama alikuwa amefanikisha kupatikana kwa makubaliano ya udhibiti wa nuclear Iran yaliyojulikana kama Joint Comprehensive Plan of Action(JCPOA) mwaka 2015 ambayo ilikuwa ni kuhakikisha Iran inarutubisha uranium kwa matumizi ya kiraia tu ya nishati ili kuondolewa vikwazo na kupewa pesa zake zilizokuwa zimeshikiliwa katika benki za West. Ripoti huru za ukaguzi za kimataifa zilionyesha Iran ilikuwa ikizingatia makubaliano hayo, ikifanya urutubishaji wa uranium wa kiwango cha kati kwa 20% kama walivyokubaliana.

Alipoingia mendawazimu Trump, mwaka 2018 akafutulia mbali makubaliano hayo na kumtukana sana Obama kwamba alikuwa hajui anachofanya na kwamba alikuwa anawapa Iran pesa za kufadhili ugaidi, kufuatia hatua hiyo Iran nayo ikaongeza urutibishaji kufikia 60% huku ikiendeleza vurugu zake za ufadhili wa ugaidi. Sasa Netanyahu na Trump wameibuka tena wakipiga kelele kwamba Iran iko njiani kuunda silaha za nuclear kutokana na urutibishaji huo mkubwa wa uranium!
Wewe unamuamini yule mshia Obama!? Yeye na Biden ndiyo waliotufikisha hapa kwa ujinga wao
 
Back
Top Bottom