Hawa wajinga Wana utofauti gani na kinjeketile aliyesema risasi zitageuka kuwa maji?
Mama kakimbia kinoma πIg
Hawa wajinga Wana utofauti gani na kinjeketile aliyesema risasi zitageuka kuwa maji?
Niliona vumbi tu
Mama hataki kwenda kuwa Bikra huko peponi πNiliona vumbi tu
Hawa watu hakuna anayewaamini, Walimfanyizia Saadam Hussein wakasema anasilaha za maangamizi ili tu wapate sababu ya kumtandika.Kabla ya Trump kuingia madarakani awamu ya kwanza, Obama alikuwa amefanikisha kupatikana kwa makubaliano ya udhibiti wa nuclear Iran yaliyojulikana kama Joint Comprehensive Plan of Action(JCPOA) mwaka 2015 ambayo ilikuwa ni kuhakikisha Iran inarutubisha uranium kwa matumizi ya kiraia tu ya nishati ili kuondolewa vikwazo na kupewa pesa zake zilizokuwa zimeshikiliwa katika benki za West. Ripoti huru za ukaguzi za kimataifa zilionyesha Iran ilikuwa ikizingatia makubaliano hayo, ikifanya urutubishaji wa uranium wa kiwango cha kati kwa 20% kama walivyokubaliana.
Alipoingia mendawazimu Trump, mwaka 2018 akafutulia mbali makubaliano hayo na kumtukana sana Obama kwamba alikuwa hajui anachofanya na kwamba alikuwa anawapa Iran pesa za kufadhili ugaidi, kufuatia hatua hiyo Iran nayo ikaongeza urutibishaji kufikia 60% huku ikiendeleza vurugu zake za ufadhili wa ugaidi. Sasa Netanyahu na Trump wameibuka tena wakipiga kelele kwamba Iran iko njiani kuunda silaha za nuclear kutokana na urutibishaji huo mkubwa wa uranium!
Wewe unamuamini yule mshia Obama!? Yeye na Biden ndiyo waliotufikisha hapa kwa ujinga waoKabla ya Trump kuingia madarakani awamu ya kwanza, Obama alikuwa amefanikisha kupatikana kwa makubaliano ya udhibiti wa nuclear Iran yaliyojulikana kama Joint Comprehensive Plan of Action(JCPOA) mwaka 2015 ambayo ilikuwa ni kuhakikisha Iran inarutubisha uranium kwa matumizi ya kiraia tu ya nishati ili kuondolewa vikwazo na kupewa pesa zake zilizokuwa zimeshikiliwa katika benki za West. Ripoti huru za ukaguzi za kimataifa zilionyesha Iran ilikuwa ikizingatia makubaliano hayo, ikifanya urutubishaji wa uranium wa kiwango cha kati kwa 20% kama walivyokubaliana.
Alipoingia mendawazimu Trump, mwaka 2018 akafutulia mbali makubaliano hayo na kumtukana sana Obama kwamba alikuwa hajui anachofanya na kwamba alikuwa anawapa Iran pesa za kufadhili ugaidi, kufuatia hatua hiyo Iran nayo ikaongeza urutibishaji kufikia 60% huku ikiendeleza vurugu zake za ufadhili wa ugaidi. Sasa Netanyahu na Trump wameibuka tena wakipiga kelele kwamba Iran iko njiani kuunda silaha za nuclear kutokana na urutibishaji huo mkubwa wa uranium!
π€£π€£π€£Mama hataki kwenda kuwa Bikra huko peponi π