Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso umevunjilia mbali tume ya uchaguzi nchini humo ukiitaja kuwa ni ufujaji wa fedha.
Badala yake Wizara ya Mambo ya Ndani itashughulikia uchaguzi katika siku zijazo, runinga ya serikali ya RTB iliripoti
Tangu utawala huo ulipoingia mamlaka mnamo Septemba 2022, viongozi wake mapinduzi wameanzisha mageuzi makubwa, ikiwa ni pamoja na kuahirishwa kwa uchaguzi ambao ungesababisha kurejea kwa utawala wa kiraia
Uchaguzi mkuu ilitarajiwa kufanyika mwaka jana, lakini serikali ya kijeshi iliongeza muda wa mpito kwa demokrasia hadi Julai 2029, na kumruhusu kiongozi Kapteni Ibrahim Traoré kusalia madarakani na kuwa huru kugombea uchaguzi ujao wa urais
Shirika la habari la AFP linamnukuu Waziri wa Utawala wa Wilaya Emile Zerbo akisema kwamba tume ya uchaguzi "iligharimu" seriklai takriban dola 870,000 kwa mwaka
Kufuta tume hiyo "kutaimarisha udhibiti wetu wa mchakato wa uchaguzi na wakati huo huo kupunguza ushawishi wa kigeni", aliongeza
---
Burkina Faso's military rulers have disbanded the country's electoral commission calling it a waste of money.
The interior ministry will handle elections in the future, state-run RTB TV reported.
Since seizing power in September 2022, the coup leaders have initiated sweeping reforms, including the postponement of elections which would lead to a return to civilian rule.
A nationwide vote was due last year, but the junta extended the period of transition to democracy until July 2029, allowing leader Capt Ibrahim Traoré to remain in power and free to contest the next presidential election.
The AFP news agency quotes Territorial Administration Minister Emile Zerbo as saying that the electoral commission was "subsidised" with around $870,000 (£650,000) a year
Abolishing the commission would "reinforce our sovereign control on the electoral process and at the same time limit foreign influences", he added
After coming to power three years ago amid criticism that the civilian authorities were failing to deal with a growing Islamist insurgency, the military leaders have rejected the assistance of former colonial power France in favour of Russia
Rights groups have since accused the army of targeting civilians in its attempt to quash the militants, as well as suppressing political activity and the freedom of expression
There are also question marks over the effectiveness of the military operation. In the first half of 2025, jihadist group JNIM said it had carried out over 280 attacks in Burkina Faso – double the number for the same period in 2024, according to data verified by the BBC
Source: BBC