Captain Ibrahim Traoré is a Burkinabé military officer who currently serves as the interim leader (President of the Transition) of Burkina Faso. He assumed power on September 30, 2022, following a military coup d'état.
Born in 1988, Traoré is currently one of the world's youngest serving state leaders.
Kapteni Ibrahim Traoré ambaye ni rais wa Burkina Faso alikutana na magwiji wa soka la Afrika na kufanya mazoezi ya pamoja.
Soma pia: Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traoré akionesha ufundi kwenye Soka akiwa na Jay-Jay Okocha na Adebayor
Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso umevunjilia mbali tume ya uchaguzi nchini humo ukiitaja kuwa ni ufujaji wa fedha.
Badala yake Wizara ya Mambo ya Ndani itashughulikia uchaguzi katika siku zijazo, runinga ya serikali ya RTB iliripoti
Tangu utawala huo ulipoingia mamlaka mnamo Septemba 2022...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.