Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa ndani kama wakandarasi hawakupewa Kazi Kwa visingizio kibao lakini kikubwa ni wawe maskini Ili awatawale vizuri..Mzalendo wetu JPM alitengeneza mabilionea wa kichina, tenda zote nchi nzima za ujenzi aliwapa wachina au Mayanga, aliwapa waturuki ujenzi wa reli, wamisri ujenzi wa bwawa la Stiglers.
Wafanyabiashara wa kitanzania waliozea jela wakati wachina, waturuki wakitamba katika nchi yetu, wafanyabiashara wa kitanzania walikimbia nchi wakati wachina, waturuki na wamisri wakivimba matumbo kwa shibe.
Alifungia tenda zote za ujenzi kwa wakandarasi wa ndani na alikaribisha wachina, waturuki, wale chakula Cha watanzania.
Akaunti za wafanyabiashara wa kichina na kituruki zilinona wakati za watanzania alizifunga na kufilisiwa.
Makampuni ya kigeni yalinoga nchini wakati ya wazawa yalifungiwa na kariakoo iliyokuwa inavuma ikiuwawa.
JPM alizunguka nchi nzima akihubiri jinsi alivyo na upendo na mtu yeyote atakayechagua kuwa masikini na mnyonge.
Kweli kabisa mkuuWatu wa ndani kama wakandarasi hawakupewa Kazi Kwa visingizio kibao lakini kikubwa ni wawe maskini Ili awatawale vizuri..
Walipoondoa pesa zao kwenye mabenki Ili wasiporwe na kuzuiliwa , Mwendazake alitoa biti kwamba anajua wameweka pesa ndani na atabadili noti na sarafu..
Watu wa dizaini hii ni hatari sana kwa ustawi wa Nchi,hawafai kabisa ndio maana Nchi zilizostaarabika huwa zinapiga marufuku kabisa itikadi za namna hii.