Utawala wa Magufuli ulikuwa Msiba uliokosa Matanga

We jamaa una addiction ya umagufuli sio bure, jinga kabisa. Kwanza kwa kukosa kufikiri huoni trend inaenda vizuri, toka 96 billion hadi 36 billion.

Mungu fundi kisa unapumua, au kwa vile wewe una guarantee ya kuishi miaka mingapi? Jinga tena!
 
Nchi imetulia.

Hakuna wasiojulikana

Hakuna miradi mipya Chato

Hakuna Sukuma Gang

Hakuna viroba vya watu

Hakuna kupotezwa

Hakuna kutishana tishana
Hayo ya kufikirika.
 
Weka faida za utawala huu!

Vinginevyo wewe ni pumbavu stupid
Ukiona mtu anatukana ndo alivyolewa na mama yake. Tukana tena tuone ulivyolelewa na wazazi wako wakiwa uchi.
 
imetosha sasa, mnaonaje tukaanza kuwaza ya mbele kwa maslah mapana ya taifa. Tuachane na hz soga zilizopitwa na wakati.
Ndo maana nchi yetu Masikini sababu hatujifunzi kutokana na Makosa
 
Nchi ilikuwa Gizani, Wajinga hadi leo wanaamni Magufuli hakuwa fisadi kubwa.

Tunafiwa sisi Msiba kwake. Kazi tulifanya sisi kazi Mshahara Watu wa Geita.

Kimara wanabomolewa nyimba, lakini Wasukuma wa Mwanza akadai walimpigia Kura Wasibomolewe.

Mafisadi akasema ni Wahujumu uchumi, akataka wampe Rushwa ili awaachie.

ATCL kila siku inapata hasara anadanganya wanapata faida. Wafanyakazi wa Serikali wote tukawa tunakusanywa pale Kipawa kupokea ndege.

Mungu ni fundi
View attachment 2574112
View attachment 2574279
@Moderator mnaruhusu vipi mtu kushangilia kifo cha binadamu tena na kumhusisha muumba wetu?

Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni, maoni yake yaheshimiwe lakini kubeza mtu tena aliyekuwa mkuu wa nchi si kitu kizuri kibinadamu na hata kwa dini zote. Huyo marehemu alikuwa kiongozi wa watu na ana familia.

figganigga kusema "Muumba fundi" kwasababu ya mtu kufariki unafikiri ni kitu kizuri? Alafu baadae unaenda ibadani? Unatumia jina la muumba kwa mambo ya kisiasa kirahisi tu. Shame on you!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Nchi ilikuwa Gizani, Wajinga hadi leo wanaamni Magufuli hakuwa fisadi kubwa.

Tunafiwa sisi Msiba kwake. Kazi tulifanya sisi kazi Mshahara Watu wa Geita.

Kimara wanabomolewa nyimba, lakini Wasukuma wa Mwanza akadai walimpigia Kura Wasibomolewe.

Mafisadi akasema ni Wahujumu uchumi, akataka wampe Rushwa ili awaachie.

ATCL kila siku inapata hasara anadanganya wanapata faida. Wafanyakazi wa Serikali wote tukawa tunakusanywa pale Kipawa kupokea ndege.

Mungu ni fundi
View attachment 2574112
View attachment 2574279
Itachukua miaka mingi kumpata kiongozi kama magufuli, najua hizo ajeenda zote Ni kutaka kuondoa kumbukumbu za watu juu ya upendo wao Kwa JPM kamwe hamuwezi,Kwanza jua kwamba kitu pekee alichopendewa JPM Ni ukaribu wake na Namna ya utatuzi Wa masuala ya WANANCHI, tutaendelea kumkumbuka Kwa kuwa miradi aliyoanzisha mingi inakamilika 2025 hivyo kumbukumbu Ni ya kutosha.
 
We hujui nchi alipoitoa magufuli. Ni Magufuli ndio kaileta nchi kwenye mwanga hadi watawala wa sasa wanahaha tu.

Ukipita mabarabarani ni mabango tu. Mara mama kafanya hivi, mara kafanya vile. Wakati hakuna lolote.
Magufuli na jeshi lake walivyotufanyia haya

Nchi ilikuwa Gizani, Wajinga hadi leo wanaamni Magufuli hakuwa fisadi kubwa.

Tunafiwa sisi Msiba kwake. Kazi tulifanya sisi kazi Mshahara Watu wa Geita.

Kimara wanabomolewa nyimba, lakini Wasukuma wa Mwanza akadai walimpigia Kura Wasibomolewe.

Mafisadi akasema ni Wahujumu uchumi, akataka wampe Rushwa ili awaachie.

ATCL kila siku inapata hasara anadanganya wanapata faida. Wafanyakazi wa Serikali wote tukawa tunakusanywa pale Kipawa kupokea ndege.

Mungu ni fundi
View attachment 2574112
View attachment 2574279

Hakuna shirika linalopata hasara, na magu alikuwa anajua fika nn wanafanya

Hao ATCL kama wangekuwa wanapata hasara wao wenyewe hata mishahara wasingejilipa hata Kodi za majengo Yao wasingelipa na wafanyakazi wote wangekuwa wameshaondoka kwenda kutafuta kazi nyingine

Jiulize why bado wapo?

Na magu alikuwa anawaambia leteni mrabaha au Acheni kazi, na mbona hawakuacha kazi?
 
Nchi ilikuwa Gizani, Wajinga hadi leo wanaamni Magufuli hakuwa fisadi kubwa.

Tunafiwa sisi Msiba kwake. Kazi tulifanya sisi kazi Mshahara Watu wa Geita.

Kimara wanabomolewa nyimba, lakini Wasukuma wa Mwanza akadai walimpigia Kura Wasibomolewe.

Mafisadi akasema ni Wahujumu uchumi, akataka wampe Rushwa ili awaachie.

ATCL kila siku inapata hasara anadanganya wanapata faida. Wafanyakazi wa Serikali wote tukawa tunakusanywa pale Kipawa kupokea ndege.

Mungu ni fundi
View attachment 2574112
View attachment 2574279
Nonsense badala ya kuhoji namna ambavyo fedha za Uma zinatumiwa vibaya baadhi ya watu wajinga mnahoji mtu ambaye hayupo duniani.acha tuibiwe Tu Kwa Sababu watanzania wa Aina yako wapo wengi.
 
Mwaka 2021/2022 bajeti yake ya wizara ya ujenzi wamejenga barabara kilometa 1 TANROAD na hela zaidi ya trillion 2.89 hazijulika ziliopo kwa mjibu wa CAG! Halafu Wewe jinga unakuja na kuongea upupu hapa!Kafie mbele na serkali yako ya hovyo!
We hujui nchi alipoitoa magufuli. Ni Magufuli ndio kaileta nchi kwenye mwanga hadi watawala wa sasa wanahaha tu.

Ukipita mabarabarani ni mabango tu. Mara mama kafanya hivi, mara kafanya vile. Wakati hakuna lolote.
 
Mungu fundi sana. Nduli tayari yupo anapostahili kuwa
JamiiForums-440561486.jpg
 
Nchi imetulia.

Hakuna wasiojulikana

Hakuna miradi mipya Chato

Hakuna Sukuma Gang

Hakuna viroba vya watu

Hakuna kupotezwa

Hakuna kutishana tishana
Hakuna kubambikia kesi

Hakuna kunyang'anya fedha za watu

Hakuna kutekana

Hakuna kutishana

Limekufa mpaka raha yani
 
Nchi ilikuwa Gizani, Wajinga hadi leo wanaamni Magufuli hakuwa fisadi kubwa.

Tunafiwa sisi Msiba kwake. Kazi tulifanya sisi kazi Mshahara Watu wa Geita.

Kimara wanabomolewa nyimba, lakini Wasukuma wa Mwanza akadai walimpigia Kura Wasibomolewe.

Mafisadi akasema ni Wahujumu uchumi, akataka wampe Rushwa ili awaachie.

ATCL kila siku inapata hasara anadanganya wanapata faida. Wafanyakazi wa Serikali wote tukawa tunakusanywa pale Kipawa kupokea ndege.

Mungu ni fundi
View attachment 2574112
View attachment 2574279
Tunakusubiri wewe tuone sijui utakufaje mbwa wewe,bora jpm kazikwa na dunia nzima,
 
Mfate pale kwake Chato umchukue mkae nje mnywe chai umsemeeee ukimaliza mlaze kwenye nyumba yake tena.
Uone kama utarudi ww.
Nyie pumbavu sijui mnatokeaga wapi na upuuzi wenu..
Kashapumzika tumuache apumzike kwa Amani.
Jadili mambo mengine
 
We hujui nchi alipoitoa magufuli. Ni Magufuli ndio kaileta nchi kwenye mwanga hadi watawala wa sasa wanahaha tu.

Ukipita mabarabarani ni mabango tu. Mara mama kafanya hivi, mara kafanya vile. Wakati hakuna lolote.
Hakuna Rais aliyekuwa anapenda show off kama Magu kila siku alitaka atangazwe mpaka TBC ikapungukiwa watazamaji.Kama mnasema Mh Samia anapenda kujitangaza mwanzilishi wa utamaduni huo ni Mzilankende alipenda sana kamera
 
Nchi ilikuwa Gizani, Wajinga hadi leo wanaamni Magufuli hakuwa fisadi kubwa.

Tunafiwa sisi Msiba kwake. Kazi tulifanya sisi kazi Mshahara Watu wa Geita.

Kimara wanabomolewa nyimba, lakini Wasukuma wa Mwanza akadai walimpigia Kura Wasibomolewe.

Mafisadi akasema ni Wahujumu uchumi, akataka wampe Rushwa ili awaachie.

ATCL kila siku inapata hasara anadanganya wanapata faida. Wafanyakazi wa Serikali wote tukawa tunakusanywa pale Kipawa kupokea ndege.

Mungu ni fundi
View attachment 2574112
View attachment 2574279
Hii Hasara yoote na Fast Jet walikuwa wanapata kama hii?
 
Back
Top Bottom