Utawala wa Magufuli ulikuwa Msiba uliokosa Matanga

Makamba na Nape wapo kazini
 
Hakuna Rais aliyekuwa anapenda show off kama Magu kila siku alitaka atangazwe mpaka TBC ikapungukiwa watazamaji.Kama mnasema Mh Samia anapenda kujitangaza mwanzilishi wa utamaduni huo ni Mzilankende alipenda sana kamera
Tunaambiwa pia alikuwa anawala sana watumishi wake na wake za watu, hilo nalo Samia ataendeleza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…