Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
- Thread starter
- #41
Sidhani kuna mtu amesema kuwa Rais Samia ni mbaya. Kwa asili yake anaonekana ni mtu anayependa haki, na nina hakika angefurahi kila mmoja atoe mchango wake wa kulijenga Taifa hili akiwa na furaha na amani moyoni mwake.Dah, hii Nchi hata ashushwe Malaika aje kutuongoza bado tutalaumu tu,mama ana siku mia tayari hafai,
Ndiomaana Mungu alimleta dikteta Ngosha atunyooshe, Sasa akiondoka mama naomba mungu Ndugai achukue madaraka mlimie meno aisee
Tunachomkumbusha ni kuwa hayo mema anayoyataka ayajengee utaratibu wa kuyalinda ili yawe sehemu ya tunu za Taifa letu. Hakuna namna ya kuyalinda zaidi ya kuyalinda kwa nguvu za katiba na sheria.