Utawala wa Rais Suluhu Hassan wamsikilize Baba wa Taifa
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/18gvMr6aPg/
Baba wa Taifa letu Mwl. Nyerere alikuwa Kiongozi mwenye hikma,busara na maarifa ya kiwango cha juu sana.
Naushauri utawala huu warejee alichozungumza Baba wa Taifa kuhusu Watawala(si Viongozi) ambao wanaitawala Tanzania kwa kuvunja Katiba ya ñchi!!
Mwalimu ameshauri Watawala wanaovunja Katiba kwa maslahi yao binafsi lazima Wakataliwe na Wakabiliwe. Vinginevo tutaruhusu MADIKTETA watawale nchi yetu.
ndio maana nimekuja na uzi za maono ya ajaye atakayekomboa kila nchi na fikra.
Leo tunaadhimisha kumbukumbu ya Hayati Samora Machel, Rais wa kwanza wa Msumbiji, huku tukimkumbuka
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye aliweka misingi ya nchi na umoja kama Baba wa Taifa.
Maono haya yanajenga picha ya kiongozi ajaye ambaye atakamilisha ndoto za maendeleo na ukombozi wa kiuchumi kwa Tanzania, Jumuiya ya Afrika Mashariki, na bara zima la Afrika.
1/ Nchi yetu imepita katika mikono ya viongozi wakuu walioacha alama zao. Lakini, historia inajiandaa kumzaa kiongozi mmoja wa kipekee—Rais ajaye ambaye hatakuwa tu mtawala, bali "Baba wa Wananchi". Tofauti na...