Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Hakuna kitakachodumu milele.
Hata huu uonevu nao utapita.
Juu ya yote "MUNGU ANAWAONA".
Hata huu uonevu nao utapita.
Juu ya yote "MUNGU ANAWAONA".
Sijui itakuwajeJe, kuteka raia wasio na hatia, kuwaua wanaharakati wa haki za binadamu, na kusaka watu kwa sababu tu wamekosoa mfumo dhalimu ni halali? Hivi tumefikia hatua ya kuwa taifa ambalo linaogopa hata kupumua kwa uhuru? Taifa ambalo linahitaji kibali hata kwa fikra huru? This is the psychological entrapment of a nation where fear has become institutionalised.
Hali tuliyonayo sasa ni manifestation ya psychological trauma ya kitaifa – watu wanaogopa hata kuongea, wanaishi kwa tahadhari isiyo na kipimo, na akili zao zimejengwa kwenye msingi wa learned helplessness – ile hali ya mtu kuamini kuwa hawezi kufanya chochote hata kama ana uwezo, kwa sababu kila jaribio la haki huambatana na mateso.
Tunateswa siyo kwa mijeledi tu, bali kwa kuvunjwa kwa fikra zetu. Sauti huru inapotekwa, roho za taifa zinatekwa pamoja nayo. Tunaponyamaza, tunahalalisha ukatili. Tunapotazama watu wakipotea na kusema “sio ndugu yangu,” basi tujiandae kwa siku ambapo itakuwa kweli ni ndugu yetu – halafu tutaishi na mshituko wa maisha yote kwa sababu system yenyewe imeundwa kuwa predatory kwa kila asiyeamini uongo wa chama tawala.
Tunaishi kwenye authoritarian psychodynamic system – mfumo unaotumia hofu, ukimya, propaganda, na mateso ya kisirisiri kuhalalisha utawala wa kimabavu. Hili ni taifa linaloshindwa kusikiliza kilio cha wenye uchungu kwa sababu kilishaambukizwa ugonjwa wa kitaasisi wa kutosikia tena sauti za maumivu. Hii ni clinical silence – kimya chenye sumu ya uhalifu ndani yake.
Wale mnaoshabikia CCM na mnashangilia haya, fahamuni kuwa mnashangilia kaburi lenu wenyewe likichimbwa taratibu. Leo ni sisi tunaosema, kesho ni watoto wenu, keshokutwa ni ninyi wenyewe mtakapokosa pa kukimbilia. Wale mnaopiga kelele kwamba “wanapinga maendeleo,” jaribuni kutenganisha maendeleo ya miundombinu na maendeleo ya utu. Hakuna maendeleo ya kweli pasipo ethical governance and psychological safety.
Tunaitwa wapinzani, wasiotaka amani, wachochezi, lakini ukweli ni kwamba sisi ndio tunapiga kelele kabla taifa halijazikwa rasmi kwenye kaburi la kimya kinachoua roho ya kizazi kizima. Tunapaza sauti kwa sababu bado tuna huruma na taifa letu – unlike wenu mnaotumia uoga kama sera ya utawala.
Tunakemea haya maovu kwa hasira, kwa uchungu, na kwa akili timamu. Hatukubali kupumbazwa na “peace narrative” ya kimamlaka inayotaka tusiseme wakati mateso ni mfumo rasmi wa utawala.
We must deconstruct the architecture of fear and reclaim the dignity of a people silenced for too long.
Kibaya zaidi hao wanayofanya haya wanafanya with confidence na huku wakiwa protected na majeshi tunayoyalipa...what a trauma!Je, kuteka raia wasio na hatia, kuwaua wanaharakati wa haki za binadamu, na kusaka watu kwa sababu tu wamekosoa mfumo dhalimu ni halali? Hivi tumefikia hatua ya kuwa taifa ambalo linaogopa hata kupumua kwa uhuru? Taifa ambalo linahitaji kibali hata kwa fikra huru? This is the psychological entrapment of a nation where fear has become institutionalised.
Hali tuliyonayo sasa ni manifestation ya psychological trauma ya kitaifa – watu wanaogopa hata kuongea, wanaishi kwa tahadhari isiyo na kipimo, na akili zao zimejengwa kwenye msingi wa learned helplessness – ile hali ya mtu kuamini kuwa hawezi kufanya chochote hata kama ana uwezo, kwa sababu kila jaribio la haki huambatana na mateso.
Tunateswa siyo kwa mijeledi tu, bali kwa kuvunjwa kwa fikra zetu. Sauti huru inapotekwa, roho za taifa zinatekwa pamoja nayo. Tunaponyamaza, tunahalalisha ukatili. Tunapotazama watu wakipotea na kusema “sio ndugu yangu,” basi tujiandae kwa siku ambapo itakuwa kweli ni ndugu yetu – halafu tutaishi na mshituko wa maisha yote kwa sababu system yenyewe imeundwa kuwa predatory kwa kila asiyeamini uongo wa chama tawala.
Tunaishi kwenye authoritarian psychodynamic system – mfumo unaotumia hofu, ukimya, propaganda, na mateso ya kisirisiri kuhalalisha utawala wa kimabavu. Hili ni taifa linaloshindwa kusikiliza kilio cha wenye uchungu kwa sababu kilishaambukizwa ugonjwa wa kitaasisi wa kutosikia tena sauti za maumivu. Hii ni clinical silence – kimya chenye sumu ya uhalifu ndani yake.
Wale mnaoshabikia CCM na mnashangilia haya, fahamuni kuwa mnashangilia kaburi lenu wenyewe likichimbwa taratibu. Leo ni sisi tunaosema, kesho ni watoto wenu, keshokutwa ni ninyi wenyewe mtakapokosa pa kukimbilia. Wale mnaopiga kelele kwamba “wanapinga maendeleo,” jaribuni kutenganisha maendeleo ya miundombinu na maendeleo ya utu. Hakuna maendeleo ya kweli pasipo ethical governance and psychological safety.
Tunaitwa wapinzani, wasiotaka amani, wachochezi, lakini ukweli ni kwamba sisi ndio tunapiga kelele kabla taifa halijazikwa rasmi kwenye kaburi la kimya kinachoua roho ya kizazi kizima. Tunapaza sauti kwa sababu bado tuna huruma na taifa letu – unlike wenu mnaotumia uoga kama sera ya utawala.
Tunakemea haya maovu kwa hasira, kwa uchungu, na kwa akili timamu. Hatukubali kupumbazwa na “peace narrative” ya kimamlaka inayotaka tusiseme wakati mateso ni mfumo rasmi wa utawala.
We must deconstruct the architecture of fear and reclaim the dignity of a people silenced for too long.
Wewe ni pumbavu usiye na akili, personal attacks badala ya kujibu hoja inadhihirisha jinsi hiki kibibi chenu kinavyokusanya mbumbumbu msiojielewa ambao survival yenu inategemea uchawa ndiyo muwe watetezi wa dhalimu huyo wa kutoka taifa jirani la Zanzibar.We bwege tuliza hayo makalio, unafikiri ukichanganya hivyo vikiingereza vyako ndio vitabadilisha upumbavu uliouandika? Upumbavu ni upumbavu ht uandike kwa lugha gani. Hakuna nafasi ya kulea upumbavu nchi hii. Huwezi umeshindwa kupata cha kusema uanze kumtukana Rais ili upate attention, uanze uchokonozi, uzushi, uchochezi, upandikizaji na uenezi wa chuki kwa kujificha ndani ya kichaka cha uhuru wa maoni, hayo siyo maoni we kibwengo. Tena serikali yetu inatumia nguvu ndogo sana, kila atakayeendelea na aina yyte ya upumbavu atashughulikiwa ikiwa pamoja na kupotezwa kwa maslahi ya wengi. Ht ww usijifiche na ID feki jitokeze na viinglishi vyako hivyo. Pumbav nchi yetu iko imara hamuwezi kuiyumbisha mambwa koko nyie.
Mungu aepushie Mbali roho za utekaji na mauaji IJN!
Sasa matusi ya nn aiseUtatangulia we nguruwe pori
Bandiko zuri sana, hili linaonekana limeandikwa na akili kubwa.Je, kuteka raia wasio na hatia, kuwaua wanaharakati wa haki za binadamu, na kusaka watu kwa sababu tu wamekosoa mfumo dhalimu ni halali? Hivi tumefikia hatua ya kuwa taifa ambalo linaogopa hata kupumua kwa uhuru? Taifa ambalo linahitaji kibali hata kwa fikra huru? This is the psychological entrapment of a nation where fear has become institutionalised.
Hali tuliyonayo sasa ni manifestation ya psychological trauma ya kitaifa – watu wanaogopa hata kuongea, wanaishi kwa tahadhari isiyo na kipimo, na akili zao zimejengwa kwenye msingi wa learned helplessness – ile hali ya mtu kuamini kuwa hawezi kufanya chochote hata kama ana uwezo, kwa sababu kila jaribio la haki huambatana na mateso.
Tunateswa siyo kwa mijeledi tu, bali kwa kuvunjwa kwa fikra zetu. Sauti huru inapotekwa, roho za taifa zinatekwa pamoja nayo. Tunaponyamaza, tunahalalisha ukatili. Tunapotazama watu wakipotea na kusema “sio ndugu yangu,” basi tujiandae kwa siku ambapo itakuwa kweli ni ndugu yetu – halafu tutaishi na mshituko wa maisha yote kwa sababu system yenyewe imeundwa kuwa predatory kwa kila asiyeamini uongo wa chama tawala.
Tunaishi kwenye authoritarian psychodynamic system – mfumo unaotumia hofu, ukimya, propaganda, na mateso ya kisirisiri kuhalalisha utawala wa kimabavu. Hili ni taifa linaloshindwa kusikiliza kilio cha wenye uchungu kwa sababu kilishaambukizwa ugonjwa wa kitaasisi wa kutosikia tena sauti za maumivu. Hii ni clinical silence – kimya chenye sumu ya uhalifu ndani yake.
Wale mnaoshabikia CCM na mnashangilia haya, fahamuni kuwa mnashangilia kaburi lenu wenyewe likichimbwa taratibu. Leo ni sisi tunaosema, kesho ni watoto wenu, keshokutwa ni ninyi wenyewe mtakapokosa pa kukimbilia. Wale mnaopiga kelele kwamba “wanapinga maendeleo,” jaribuni kutenganisha maendeleo ya miundombinu na maendeleo ya utu. Hakuna maendeleo ya kweli pasipo ethical governance and psychological safety.
Tunaitwa wapinzani, wasiotaka amani, wachochezi, lakini ukweli ni kwamba sisi ndio tunapiga kelele kabla taifa halijazikwa rasmi kwenye kaburi la kimya kinachoua roho ya kizazi kizima. Tunapaza sauti kwa sababu bado tuna huruma na taifa letu – unlike wenu mnaotumia uoga kama sera ya utawala.
Tunakemea haya maovu kwa hasira, kwa uchungu, na kwa akili timamu. Hatukubali kupumbazwa na “peace narrative” ya kimamlaka inayotaka tusiseme wakati mateso ni mfumo rasmi wa utawala.
We must deconstruct the architecture of fear and reclaim the dignity of a people silenced for too long.
Tunaomba watawala wajue wanaongoza binadamu sio fisi,Hilo tuu kwa Leo inatoshaubunifu wa porojo nonsense za kupotosha kama hizi haziwezi kuleta changes yoyote gentleman, ni useless 🐒
ni vizuri binadamu kuepuka kujifanya nyumbu gentlemanTunaomba watawala wajue wanaongoza binadamu sio fisi,Hilo tuu kwa Leo inatosha
Qmmmko unang'atwa.ubunifu wa porojo nonsense za kupotosha kama hizi haziwezi kuleta changes yoyote gentleman, ni useless 🐒
Sasa kama kilio chetu ni pesa hayo mengine ya uchawa hatuwezi,pesa mtaani ikiwepo kila mtu atauza biasharani vizuri binadamu kuepuka kujifanya nyumbu gentleman
Ndiyo tutelage kwa petty issuesni vizuri binadamu kuepuka kujifanya nyumbu gentleman
kuongozwa katika kweli sio kupanic gentleman, taifa linasonga mbeleNdiyo tutelage kwa petty issues
Ahh come on gentleman mbona
Kama mfumo unapanik
Ova
Ndiyo kutekana na kupotezanakuongozwa katika kweli sio kupanic gentleman, taifa linasonga mbele
Mpaka hapo hatuna mkombozi. Wala lisu hawezi maana wakiona anakaribia kuchukua nchi watamuua hwawezi kukubali kirahisi kuachia madaraka. Kama mbowe mwenyewe hajarizika ambae tulidhan ni mwanademokrasia itakuwaje hawa wanamapinduzi?Jeshi lipi? unalozungumzia kwani 2020 lilotumika kuzuia maandamano na kujeruhi raia, wakati wa kutangaza washindi wa mchongo lilikuwa jeshi gani?
hakuna wa kubabaika na porojo wala drama kama hizo gentlemanNdiyo kutekana na kupotezana
Naona suala la kuchukua uhai wa mwenzako mshaona ni jambo la kawaida
Ova
bidii katika kazi bila kukata tamaa ndio pesa yenyewe gentlemanSasa kama kilio chetu ni pesa hayo mengine ya uchawa hatuwezi,pesa mtaani ikiwepo kila mtu atauza biashara