chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Ni maswali ya kujiuliza jinsi wanavo kuja na silahaa ambazo hata kibari cha kumiliki uwezi pewa zaidi ya vitengo vinavyo husika tu huku magari ambayo hata uwezi miliki sababu mengi yanakuwa kwenye idara.
Watekaji wanaweza kuja kweupe na ikitokea purukushani ndio ukubari kuwa wamehusika idara fulani.
Kwa nini linapotekea swala utekaji ukimbilia kukanusha haraka na utishia wananchi wasioji au kusambaza taarifa.
Ukizidi wiki mbili na waliokuteka ndio basi tena itakuwa mwezi mamiezi mwaka na mamiaka huku wakidai uchunguzi unafanyika.
Ila cha kushangaza embu mwananchi wa kawaida fanya haya hata kumuua mtu au kumteka mtu ndani ya mda mchache watakavo kukamata na utakavosikia wana itelejensia kali huku wakijigamba kuwa wamejipanga.