Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

Uzuri wa geita na watu wake ukiwakosea watakutafuta popote ulipo ulipie makosa yako. Hapo hakuna udini bali huyo kuna jambo kafanya
Tusiweke perception hizo na kama dola wasiruhusu huo uhuni southafrica walichekea mambo hayo sasahivi imekuwa kama gaza bunduki saa zote kila dakika watu wanauana , ila nawaamini sana polisi watanzania huwa makini sana kuliko polisi wa nchi nyingi hapa africa
 
ukiona popote mtu ameendika "harakati za dini"maana yake ni UGAIDI.Huyo ustadh aache ujinga kama anataka kupata mabikira 72 aende Gaza lakini sio kuwa brainwash vijana na itikadi kali za kiislam.

Samia unawachekea sana hawa watu.Hawa watu wanaharibu nchi wanatakiwa wapumzishwe kama Rogo na Makaburi wa Kenya.

Mzaha mzaha hutumbua usaha!
 
DU "jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza man"
 
GEITA kuna viashiria vya ugaidi
 
Huyo Imamu namfahamu ana mahubiri makali saana dhidi ya watu wasio waislamu tena anahubiri kwenye kipaza saut kuhusu ku dili na makafiri (hasa wakatoliki) vipi ile nyumba yake ya kule juu kuelekea msala wale vijana hua anawafundisha nn
 
Alikuwa mfuasi wa Chama gani cha siasa?
 
Alikuwa mfuasi wa Chama gani cha siasa?
 
Huyo Imamu namfahamu ana mahubiri makali saana dhidi ya watu wasio waislamu tena anahubiri kwenye kipaza saut kuhusu ku dili na makafiri (hasa wakatoliki) vipi ile nyumba yake ya kule juu kuelekea msala wale vijana hua anawafundisha nn
Angeshtakiwa kwa uchochezi na kupelekwa mahakamani waliomteka ni akina nani?
 
Mtu akitekwa mnamsaka kwenye vituo vya polisi, hii maana yake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…