Utekaji wa USA kwa maditekta utafanya maditekta wengine walale sehemu zisizojulikana.

Utekaji wa USA kwa maditekta utafanya maditekta wengine walale sehemu zisizojulikana.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ile misheni mpaka maduro anakamatwa ni kwamba walijua ramani ya jengo mpaka stoo ya kuweka chawa wakiwa wanawaponda wapinzani.

Kwa kiwango kile lazima kibadilishe mshituo wa mbinu nyengine kwa maditekta sasa katika makazi.

Kuna mmoja tokea October 29 aliyofanya usije shangaa kumkuta nyumbani kwako kapumzika kuogopa mkono wa maduro huku akihamahama.
FB_IMG_1767532226930.jpg
 
Ile misheni mpaka maduro anakamatwa ni kwamba walijua ramani ya jengo mpaka stoo ya kuweka chawa wakiwa wanawaponda wapinzani.

Kwa kiwango kile lazima kibadilishe mshituo wa mbinu nyengine kwa maditekta sasa katika makazi.

Kuna mmoja tokea October 29 aliyofanya usije shangaa kumkuta nyumbani kwako kapumzika kuogopa mkono wa maduro huku akihamahama.View attachment 3525166
Labda wakalale kuzimu kabisa.Kwani umesahau kwamba satelites zipo na zinachungulia hadi punje za haradari?
 
Unaambiwa maduro walikuwa wanamfuatilia kila alipokuwa walijua, nahisi kuna signal walipandikizwa hadi mbwa na paka wake wale wajuba wa trump waliweza kuwa track na kujua wapo wapi. Huyu wa oktoba 29 kama anatumiatumia vifaa vya elekroniki kutwa viko karibu naye wajuba wakiamua kumnyakua hawatashindwa hata ajifichefiche wapi. Ogopa sana vifaa vya elekroniki vinaweza kutoa signal ulipo na utadakwa kirahisi wakikuamulia
 
Eti nisingae mkuta home kwangu kajifichaaa 😅😅
 
Back
Top Bottom