Labda wakalale kuzimu kabisa.Kwani umesahau kwamba satelites zipo na zinachungulia hadi punje za haradari?Ile misheni mpaka maduro anakamatwa ni kwamba walijua ramani ya jengo mpaka stoo ya kuweka chawa wakiwa wanawaponda wapinzani.
Kwa kiwango kile lazima kibadilishe mshituo wa mbinu nyengine kwa maditekta sasa katika makazi.
Kuna mmoja tokea October 29 aliyofanya usije shangaa kumkuta nyumbani kwako kapumzika kuogopa mkono wa maduro huku akihamahama.View attachment 3525166
Alikuwa anaagiza vikosi vyake haramu viwafire wanaompinga pindi anapowakamata.Sasa anaenda kukutana na akina Pididy manguli wa mifirano huko lupango.Marabook zake mwili mzima!wAnaogopa kwenda kukutana View attachment 3525169
Afe tu umbwa koko huyo!Maduro atafia gerezani kwa kihoro siwafichi