Utekelezaji wa bajeti mpya kuanza leo

Utekelezaji wa bajeti mpya kuanza leo

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
52,160
Reaction score
48,974
Heri ya mwaka mpya wa kiserikali, utekelezaji wa bajeti mpya umeanza.
Badiliko la kwanza kwenye kodi ya pango toka 1,500 hadi 2,000 tuendelee kujuzana bidhaa mbalimbali na bei zake mpya.
Umeme wa 10k makato zaidi ya 3,000, acha tunyooshwe tu

Ref: EC1022156...

Cost 6,557.38
VAT 18% 1,180.33
EWURA 1% 65.57
REA 3% 196.72
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 10,000.00

2024-07-01 07:08:40
 
Hilo nalo litapita

Ila kwa kuumia sana🤔
 
Heri ya mwaka mpya wa kiserikali, utekelezaji wa bajeti mpya umeanza.
Badiliko la kwanza kwenye kodi ya pango toka 1,500 hadi 2,000 tuendelee kujuzana bidhaa mbalimbali na bei zake mpya.
Umeme wa 10k makato zaidi ya 3,000, acha tunyooshwe tu

Ref: EC1022156...

Cost 6,557.38
VAT 18% 1,180.33
EWURA 1% 65.57
REA 3% 196.72
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 10,000.00

2024-07-01 07:08:40
Haya makato ni zaidi ya murder, nimekaa nchi nyingi sijawahi ona wizi kama huu, na hii ndio sababu nchi ina umaskini wa kutisha
 
Screenshot_20240701_102620_WhatsApp.jpg
 
Heri ya mwaka mpya wa kiserikali, utekelezaji wa bajeti mpya umeanza.
Badiliko la kwanza kwenye kodi ya pango toka 1,500 hadi 2,000 tuendelee kujuzana bidhaa mbalimbali na bei zake mpya.
Umeme wa 10k makato zaidi ya 3,000, acha tunyooshwe tu

Ref: EC1022156...

Cost 6,557.38
VAT 18% 1,180.33
EWURA 1% 65.57
REA 3% 196.72
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 10,000.00

2024-07-01 07:08:40
 
Attachments

  • VID-20240701-WA0011.mp4
    4.3 MB
Heri ya mwaka mpya wa kiserikali, utekelezaji wa bajeti mpya umeanza.
Badiliko la kwanza kwenye kodi ya pango toka 1,500 hadi 2,000 tuendelee kujuzana bidhaa mbalimbali na bei zake mpya.
Umeme wa 10k makato zaidi ya 3,000, acha tunyooshwe tu

Ref: EC1022156...

Cost 6,557.38
VAT 18% 1,180.33
EWURA 1% 65.57
REA 3% 196.72
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 10,000.00

2024-07-01 07:08:40
Hembu tuone ulipata unit ngapi? Hilo ndio muhimu
 
Back
Top Bottom