Utekelezaji wa bajeti mpya kuanza leo

Utekelezaji wa bajeti mpya kuanza leo

Heri ya mwaka mpya wa kiserikali, utekelezaji wa bajeti mpya umeanza.
Badiliko la kwanza kwenye kodi ya pango toka 1,500 hadi 2,000 tuendelee kujuzana bidhaa mbalimbali na bei zake mpya.
Umeme wa 10k makato zaidi ya 3,000, acha tunyooshwe tu

Ref: EC1022156...

Cost 6,557.38
VAT 18% 1,180.33
EWURA 1% 65.57
REA 3% 196.72
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 10,000.00

2024-07-01 07:08:40
Hapa production cost ishaongezeka
 
Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00 01/07/24 11:07

Mie nimekatwa 6k sijawaelewa kabisa
Labda walikuwa wanakudai miezi 2 yaani ulinunua umeme wa kutosha miezi 2 pamoja na huu wa 7 itakuwa miezi3 jumla Ndiyo hiyo bk 6
 
Halafu huyu Mchungaji Msigwa anasema atazunguka nchi nzima kusema ubaya wa CDM hivi kuna ubaya zaidi ya huu wa kumdidimiza mwananchi!?

Unahamasisha watu waache matumizi ya mikaa kwa maneno ila kwa vitendo unawatwika tozo kubwa kwenye umeme ili wasiutumie warudi kwenye mkaa hizi akili anazo waziri wa fedha tz tu anayeufanya umeme uwe anasa
 
Afya ya akili inatusimbua wengi
 
Back
Top Bottom