Utekelezaji wa bajeti mpya kuanza leo

Utekelezaji wa bajeti mpya kuanza leo

Aiseeh Hali sio nzuuli tuendako sjui itakuaje?

Leo ndio mine gundua kwanini watanzania Hawa pendi kuandamana

kumbe huwezi kuandamana na nyumbani hakuna chakula so wanaona ni Bora wakatafute chakula

wakati huku chadema wana andamana kutetea haki zao

nahapo ndipo wanapo kosea kwani viongozi wao ndipo wanapo anzia kuwaona nima zuzu

Hivi Hawa watu wa government wanafahamu kwamba watanzania kalibia 70% hawaja jenga na wame panga?

Nahizo Kodi za mijengo wanazilipa wapangaji kupita luku/kununua umeme?

Najiuliza wakenya waliludije nyuma wakati walifikia hatua nzuli Kama ile?

Hope tanzanians they can't do the same when the day has come
 
Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00 01/07/24 11:07

Mie nimekatwa 6k sijawaelewa kabisa
 
Sisi ni ngumu sababu mtu akibanwa anasaidiwa na ndugu mpaka mtu aone hakuna pakujishika ndio akili itukae sawa
 
Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00 01/07/24 11:07

Mie nimekatwa 6k sijawaelewa kabisa
Mara ya mwisho kununua umeme lini? Kabla ya leo

Yaani kama hujafanya miamala kwa miezi mitatu labda ndio wamekata chao juu kwa juu, yaani ni lazima kila mwezi uwape 2000 umenunua umeme au hukununua, na hii ndio maana halisi ya tozo
 
Heri ya mwaka mpya wa kiserikali, utekelezaji wa bajeti mpya umeanza.
Badiliko la kwanza kwenye kodi ya pango toka 1,500 hadi 2,000 tuendelee kujuzana bidhaa mbalimbali na bei zake mpya.
Umeme wa 10k makato zaidi ya 3,000, acha tunyooshwe tu

Ref: EC1022156...

Cost 6,557.38
VAT 18% 1,180.33
EWURA 1% 65.57
REA 3% 196.72
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 10,000.00

2024-07-01 07:08:40
Au tugome tusitumie pesa
 
Mara ya mwisho kununua umeme lini? Kabla ya leo

Yaani kama hujafanya miamala kwa miezi mitatu labda ndio wamekata chao juu kwa juu, yaani ni lazima kila mwezi uwape 2000 umenunua umeme au hukununua, na hii ndio maana halisi ya tozo
Kumbuka ilianza 1000 ikaja 1500 hii 2000 imeanza leo
 
Back
Top Bottom