Kumekuwa na tabia ya taasisi na watendaji mbalimbali wa serikali kutekeleza jambo kwa matukio.Mfano utakuta maeneo fulani kukitokea mlipuko ndipo polisi wanaweka beria na umakini baada ya muda hali ya umakini hurudi nyuma.
Lakini kubwa zaidi Dk Nchimbi katibu mkuu CCM yupo mkoani Ruvuma na anategemea kufanya mkutano na kuzinduwa majengo yao ya chama mtaa wa Mshangano manispaa ya Songea.
Sasa toka siku 5 nyuma heka heka watendaji kuondowa wajasiriamali kando ya barabara na kuondowa meza zao kuwambia wakafiche huko mji uonekane hauna mambo mengi. Kwanini anapokuja kiongozi tena wa chama watu wasimamishe utafutaji hela huu ni ulimbukeni.
Sitetei wajasiriamali kufanya biashara kando ya njia ambapo wengi huwa wa mboga hawa mngeweza kuwaelekeza na kwa makubaliano mkawapeleka kwenye soko maalum ili serikali ipate mapato na soko liboreshwe. Lakini hili la watendaji na watumishi wengine kufanya jambo kwa mihemko na hofu linatia aibu.