Utekelezaji Wa Ilani Ya CCM. Muonekano Wa Soko Kuu Dodoma. Limejengwa Kwa Gharama Ya Tshs Billion 14

Utekelezaji Wa Ilani Ya CCM. Muonekano Wa Soko Kuu Dodoma. Limejengwa Kwa Gharama Ya Tshs Billion 14

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Wadau.

Muonekano Wa Soko Kuu la Dodoma lililojengwa kwa Gharama ya Tshs Billion 14.

Tunatekeleza
FB_IMG_15815087199523383.jpg
FB_IMG_15815087139075998.jpg
FB_IMG_15815087020498471.jpg
FB_IMG_15815086956623275.jpg
 
Nice, sasa likikamilika waweke bei rafiki kwa watu wanaolipa kodi ya elfu 20 kwa Mwaka.
 
ivi izo bilion zimetoka kwenyr hela za ccm au serikali...?
mbona watanzaia tunakuwa wajinga mamburura kiasi iki!!!
Wakiingia chadema madarakani watasema utekelezaji wa irani ya cdm, sasa sijui unaumia wapi?
 
Wanaanza kupinga,taratiibu speed inaongezeka...
 
Kodi ya wananchi imejenga soko Dodoma. CCM wanasema ni soko lao, wametekeleza ilani. So sad hii nchi inawagonjwa wengi wa akili na wengi wameaminiwa na kupewa mamlaka na madaraka.
 
Kodi ya wananchi imejenga soko Dodoma. CCM wanasema ni soko lao, wametekeleza ilani. So sad hii nchi inawagonjwa wengi wa akili na wengi wameaminiwa na kupewa mamlaka na madaraka.
Wewe ndio mgonjwa,!

Hivi chadma inapopiga kampeni kwamba kwenye ilani yetu tutafanya moja mbili, huwa mnamaanisha hela zitatoka kwenye mfuko wa chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bilioni 14? Anyway, bila kuwaondoa wote mitaani na barabarani hilo soko halitochangamka
 
Sijui wanataka nani ajenge miundo mbinu ya jamii wakati kodi ni serekali moja tu inakusanya.
ivi izo bilion zimetoka kwenyr hela za ccm au serikali...?
mbona watanzaia tunakuwa wajinga mamburura kiasi iki!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Nokia kitochi
 
Back
Top Bottom