Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Huyu beda amuli ndio nani mkuuBado kariakoo liko juu. RIP Beda Amuli
Wakiingia chadema madarakani watasema utekelezaji wa irani ya cdm, sasa sijui unaumia wapi?ivi izo bilion zimetoka kwenyr hela za ccm au serikali...?
mbona watanzaia tunakuwa wajinga mamburura kiasi iki!!!
Nenda Google mkuu. Beda Amuli alikua habari ingineHuyu beda amuli ndio nani mkuu
Hasa kwenye nyanya[emoji28][emoji28]Nice, sasa likikamilika waweke bei rafiki kwa watu wanaolipa kodi ya elfu 20 kwa Mwaka.
Wewe ndio mgonjwa,!Kodi ya wananchi imejenga soko Dodoma. CCM wanasema ni soko lao, wametekeleza ilani. So sad hii nchi inawagonjwa wengi wa akili na wengi wameaminiwa na kupewa mamlaka na madaraka.
Hujui lolote wewe, serikali ni ya JMT na sio CCM. Ukikuwa utaelewa saizi endelea kukuwa.Wewe ndio mgonjwa,!
Hivi chadma inapopiga kampeni kwamba kwenye ilani yetu tutafanya moja mbili, huwa mnamaanisha hela zitatoka kwenye mfuko wa chadema?
Sent using Jamii Forums mobile app
ivi izo bilion zimetoka kwenyr hela za ccm au serikali...?
mbona watanzaia tunakuwa wajinga mamburura kiasi iki!!!
Sent using Jamii Forums mobile app