Utekelezwaji wa agizo la Trump; Je, Rais Samia amejipangaje ?

Utekelezwaji wa agizo la Trump; Je, Rais Samia amejipangaje ?

Amejiandaa kwa kuprint noti mpya🤣 na nyingi sana
 

Attachments

  • 5937980-bcb9919fca12dd1585f2d0437c369488.mov
    8.5 MB
Serikali lazima itoe tamko kwenye hili jambo.

View attachment 3217544

Wenyewe wanaita Miradi Misonge ( Vertical Programs) , dawa na vifaa tiba chini ya hii miradi ipo kwa Ufadhili wa USAID kwa zaid ya 80%.

ARVs, TB, Lishe , magonjwa yaliyosahaulika kama busha na matende, chanjo za watoto na mambo mengi yapo chini ya hawa jamaa.

Wakati nipo OCEAN Road , kile kitengo cha radiation Unit na vifaa vyake vilikuwa chini ya ufadhili wa hawa jamaa. USAID wapo maeneo mengi sana hapo bongo ikiwemo kufadhili baadhi ya wanafunzi wa level za juu.

Kustopisha hii misaada madhara yake ni makubwa sana; hii kitu ikiwa full implemented for long Time, Kama Taifa tutakuwa na hali ngumu sana.

Kwenye perspective ya ukweli, Serikali ya Tanzania ni masikini mnoo, wenyewe hamtoweza kwa sababu viongozi wameshauza kila kitu na deni la taifa lipo juu.

Je , Rais Samia Umejipangaje...? Îkiwa Mama Mjamzito anatukanwa kwa kokosa gloves , je huu mzigo utakuaje…..?

Tuendelee kubandika mabango yako nchi nzima na promo za kibabe au tukae chini kujadili hili jambo?

Kwangu Mimi Trump yupo sahihi, Waafrica wana resources nyingi but ni too dependent Kama vilema.


Dr Megalodon Mushy, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Tutumie vizuri raslimali zetu huu utegemezi unatudumaza akili, Africa tunatakiwa Sasa tuamke, tena tumshukuru sana Trump na Namuombea mitano mingine ili akili zetu zikae sawa.
 
Tutumie vizuri raslimali zetu huu utegemezi unatudumaza akili, Africa tunatakiwa Sasa tuamke, tena tumshukuru sana Trump na Namuombea mitano mingine ili akili zetu zikae sawa.
Uamke na nani wewe unapigwa na vumbi jua linakuchoma hapo unauza biashara yako na kiredio chako kuvuta wateja makelele mfululizo wenzio wanapita na viyoyozi full tinted kwenye V8 halafu unasema tuamke amka mwenyewe wenzio walishaamka ulipolala wewe bado umelala
 
Tumesikia Trump amekata misaada ya madawa na ya kiafya kwa nchi kadhaa, Tanzania tumo orodhani.

Mpaka sasa sio rais, sio waziri wa afya wala sio chama tawala kilichotoka hadharani kuelezea nini mpango wa serikali katika kuwalinda watu wake.

Wanaotumia dawa za kufubaza makali ya ukimwi ni wengi, hawajui hitma yao.

Magonjwa ya malaria ndio yameshamiri Uswahilini. Usipokuwa na U.T.I basi huchomoki kwenye malaria. Watoto ndio the most victims, hatari sana.

Magonjwa wa kifua kikuu wanaongezeka kila uchao, ni Nani wa kuliokoa taifa?

Je ni Babu wa Samunge, Ambilikile Mwasapile? Au ni Dr. Ndondi ndio tegemeo la taifa? Au tutaokolewa na Ngoka Eleven?

Kwanini serikali imemua kukaa kimya? Mama toka hadharani, kauli yako iondoe taharuki. Kukaa kimya sio jawabu.

Inshallah.
Atoke aseme kitu gani cha maana huyo ajuza ambaye kutwa nzima na kujifungia ndani kijipodoa tu utadhani atarudi kuwa binti kama Mange Kimambi?

Siwezi kushangaa kusikia kuwa hata hajui kuwa Kuna utaratibu huo toka kwa Trump...!!

Na akibahatika kutoka, sitashangaa akipanua mdomo, yaweza kumtoka kama ya mteule wake Chalamila na kuharibu hali ya hewa zaidi..!!
 
Back
Top Bottom