Utekelezwaji wa agizo la Trump; Je, Rais Samia amejipangaje ?

Utekelezwaji wa agizo la Trump; Je, Rais Samia amejipangaje ?

Kule Mwadui tumeachiwa mashimo tu kwa sasa.

Wakimaliza DP wanaangalia maini mengine
Gesi ya mtwara ilishauzwa kitambo sasa hivi wanaendelea kujipimia tu, tunaambiana nishati safi kisha gesi tunauziana bei juu na gesi tunayo pale imelala tumeiuza nje kwa sababu tumepoteza akili kichwani
 
Kuna nilikua nabishana na wapuuzi fulani nikamwambia waafrica sisi bado sana kujitegemea vitu vingi tunawategemea wazungu wakawa wanabisha ohooo tuna rasilimali nyingi hatuwez kuwategemea wao tena nakumbuka niliwatolea mfano huu huu kuhusu ARV nikamwambia hizo dawa tunapewa msaada wakisema kila mtu anunue watu hawataweza haya sasa Trump hyo kachezesha kidogo watu wanaanza kulia lia
Kila mtu kununua haitowezekana. moja ya Dawa gharama individally ni hizo. Hatotoboa mtu …. Halaf hizo ni dawa za MAISHA. Haiendi kuponya bali inapunguza makali….. unatumia till death

Gloves tu viongozi wanatukana Raia, ARVs je ?

Afterall, ni kweli tunazo Resources … but tumeshauza zote
 
... Uliza Kenya wamejipangaje! ... Tanzania mambo yanaenda kuwa poa sana, tuna vigezo vya kukopa na World bank wanalitambua hilo!

BONGO HAS A CLEARANCE TO SMOOTH TRANSITION!

SAGA CHUPA UMEZE! 😅
Kukopa tena kwa matumizi ambayo lengo sio kuzalisha? Tutalipaje?
 
Tulisikia kipindi cha nyuma sisi ni matajarii tembeeni "kifua mbere" ndugu zangu hatutegemei mabeberu.

Sasa tukaambiwa mama anaupiga mwingi anatoa pesa za kununua magoli , kujenga madaraja, visima vya maji , barababara na kadhalika kumbe huyu mama ni tajiri.

Sasa hivyo vitu awanunulie huyo mama yenu msitusumbue.

Cc: Lucas Mbwa wa Shamba.
 
Kama utapenda msome Mohammed Saeed Al-Sahaf, Comical Ali. Story yake is so fascinating..

Gesi ya mtwara ilishauzwa kitambo sasa hivi wanaendelea kujipimia tu, tunaambiana nishati safi kisha gesi tunauziana bei juu na gesi tunayo pale imelala tumeiuza nje kwa sababu tumepoteza akili kichwani
Nishati ni kwa ajili ya kunufaisha mabeberu. Hakuna mkoa masikini kama mtwara….. wana gesi na korosho….. ila CCM dah

Tanzania Hadi kesho umeme ni shida mmh
 
Kenya Baraza la Afya limekutana Jana kumjadili Trump

Sisi tuna Bahati Wachina ni ndugu zetu 🐼
Wewe ni mchina ?

Unafanana na huyu ?
images - 2024-09-04T171358.626.jpeg
 
Tulisikia kipindi cha nyuma sisi ni matajarii tembeeni "kifua mbere" ndugu zangu hatutegemei mabeberu.

Sasa tukaambiwa mama anupiga mwingi anatoa pesa za kununua magoli , kujenga madaraja, visima vya maji , barababara na kadhalika kumbe huyu mama ni tajiri.

Sasa hivyo vitu awanunulie huyo mama yenu msitusumbue.
🤣🤣🤣 Mama amekuwa mzuri kweli kweli tangu aingie ikulu
 
Mawazo na akili za Trump hazitofautiani sana na za wafuasi wa Lissu.
... kuna vijitu vijinga muda wote vimekaa masikio kama popo kusikiliza Habari mbaya zitakazowafanya viongozi wao washindwe kumudu kuliendesha taifa ili siasa zao pinzani ziwe rahisi!
Mimi pia ni mpinzani, lakini naamini Katika 'smooth transition'! ... vurugu zitaacha tafrani ambayo itaacha nchi yetu ya moto kiasi haishikiki na mpinzani wala watawala waliopo!
JENGENI HOJA, ... MAOMBI MABAYA YATAWARUDIA WENYEWE!
 
Back
Top Bottom