Utekelezwaji wa agizo la Trump; Je, Rais Samia amejipangaje ?

Amejiandaa kwa kuprint noti mpya🤣 na nyingi sana
 

Attachments

  • 5937980-bcb9919fca12dd1585f2d0437c369488.mov
    8.5 MB
Tutumie vizuri raslimali zetu huu utegemezi unatudumaza akili, Africa tunatakiwa Sasa tuamke, tena tumshukuru sana Trump na Namuombea mitano mingine ili akili zetu zikae sawa.
 
Tutumie vizuri raslimali zetu huu utegemezi unatudumaza akili, Africa tunatakiwa Sasa tuamke, tena tumshukuru sana Trump na Namuombea mitano mingine ili akili zetu zikae sawa.
Uamke na nani wewe unapigwa na vumbi jua linakuchoma hapo unauza biashara yako na kiredio chako kuvuta wateja makelele mfululizo wenzio wanapita na viyoyozi full tinted kwenye V8 halafu unasema tuamke amka mwenyewe wenzio walishaamka ulipolala wewe bado umelala
 
Atoke aseme kitu gani cha maana huyo ajuza ambaye kutwa nzima na kujifungia ndani kijipodoa tu utadhani atarudi kuwa binti kama Mange Kimambi?

Siwezi kushangaa kusikia kuwa hata hajui kuwa Kuna utaratibu huo toka kwa Trump...!!

Na akibahatika kutoka, sitashangaa akipanua mdomo, yaweza kumtoka kama ya mteule wake Chalamila na kuharibu hali ya hewa zaidi..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…