Lowasa Ilikuwa ATM ya chadema hiyo zile helikopta mliziona zikikata anga Ni pesa zake na rafiki zake .Hutaziona Tena 2020 .Mtafanya kampeni kwa miguu mkiwa hamna hata hell ya kununua maji ya kandoro.Mbowe SI unamjua hatatoa hata shilingi Mia ya kampeni kila mtu ajiandae kufa kibyake .Yale mamilioni kila mgombea alikuwa akipewa hamtayaona tena yameondoka na LowasaWahamie hata kwake, sijawahi kumkubali huyo tapeli na wala sintokaa nimkubali.
1.5tr + Rostam + Lowasa + kukandamiza upinzani + kuuza nyago TV kila iitwapo leo + kufungua bank branches + kuzindua miradi ya JK + GDP growth down to 4% + worsening balance of payment + uoga na utekaji wapinzani +......nKiukweli Chadema kwa muda mrefu wamekuwa ni watu wa kujenga hoja zitokanazo na matukio na si utafiti.
Rais Magufuli alipoingia madarakani Chadema walianza kumvizia wakiamini kwamba atakwama mahali ili wapate matukio ya kujengea hoja zao.
Walianza kuvizia ATCL ifeli lakini wamechemka kwani juzi meya wa jiji la Dsm Isaya Mwita ( Chadema) amempongeza Rais Magufuli kwa uamuzi wa busara wa kununua ndege. Mwita alishiriki uzinduzi wa safari za ATCL kwenda South Africa na alisafiri hadi bondeni.
Wamevizia kwenye madini nako wamechemka kwani jana tumeshuhudia BoT ikikabidhiwa mzigo wa kutosha wa madini.
Sasa wanavizia kwenye Taifa stars nako watachemka.
Mambo yote waliyopigania Chadema na Dr Slaa kwa zaidi ya miaka 20 Rais Magufuli ameyamaliza chini ya miaka mitatu, tumpongeze kwa kweli.
Jumapili njema
Maendeleo hayana vyama!
Kiukweli Chadema kwa muda mrefu wamekuwa ni watu wa kujenga hoja zitokanazo na matukio na si utafiti.
Rais Magufuli alipoingia madarakani Chadema walianza kumvizia wakiamini kwamba atakwama mahali ili wapate matukio ya kujengea hoja zao.
Walianza kuvizia ATCL ifeli lakini wamechemka kwani juzi meya wa jiji la Dsm Isaya Mwita ( Chadema) amempongeza Rais Magufuli kwa uamuzi wa busara wa kununua ndege. Mwita alishiriki uzinduzi wa safari za ATCL kwenda South Africa na alisafiri hadi bondeni.
Wamevizia kwenye madini nako wamechemka kwani jana tumeshuhudia BoT ikikabidhiwa mzigo wa kutosha wa madini.
Sasa wanavizia kwenye Taifa stars nako watachemka.
Mambo yote waliyopigania Chadema na Dr Slaa kwa zaidi ya miaka 20 Rais Magufuli ameyamaliza chini ya miaka mitatu, tumpongeze kwa kweli.
Jumapili njema
Maendeleo hayana vyama!
Hakuna anayemlilia, anayemlilia kesha mchukua hata wewe unajua alikoBasi wenzio wote hapo Ufipa wanamlilia!
Wewe mbwiga Chadema ilianza kutumia chopa toka kipindi kile Mbowe alipogombea Urais au ilikuwa bado unatoa funza huko mbwinde?Lowasa Ilikuwa ATM ya chadema hiyo zile helikopta mliziona zikikata anga Ni pesa zake na rafiki zake .Hutaziona Tena 2020 .Mtafanya kampeni kwa miguu mkiwa hamna hata hell ya kununua maji ya kandoro.Mbowe SI unamjua hatatoa hata shilingi Mia ya kampeni kila mtu ajiandae kufa kibyake .Yale mamilioni kila mgombea alikuwa akipewa hamtayaona tena yameondoka na Lowasa
Lowasa Ilikuwa ATM ya chadema hiyo zile helikopta mliziona zikikata anga Ni pesa zake na rafiki zake .Hutaziona Tena 2020 .Mtafanya kampeni kwa miguu mkiwa hamna hata hell ya kununua maji ya kandoro.Mbowe SI unamjua hatatoa hata shilingi Mia ya kampeni kila mtu ajiandae kufa kibyake .Yale mamilioni kila mgombea alikuwa akipewa hamtayaona tena yameondoka na Lowasa
Kwahiyo CCM inayofanya kwasasa kuna uchaguzi?Kuna wakati wa mikutano nyakati za kampeni na baada ya hapo ni kuchapa kazi tu!
Hivi kweli Tanzania kuna siasa!!!??? Nauliza tu GT humu but ukommunist ulishafail duniani kuwaza ukommunist ni kukosa diraKiukweli Chadema kwa muda mrefu wamekuwa ni watu wa kujenga hoja zitokanazo na matukio na si utafiti.
Rais Magufuli alipoingia madarakani Chadema walianza kumvizia wakiamini kwamba atakwama mahali ili wapate matukio ya kujengea hoja zao.
Walianza kuvizia ATCL ifeli lakini wamechemka kwani juzi meya wa jiji la Dsm Isaya Mwita ( Chadema) amempongeza Rais Magufuli kwa uamuzi wa busara wa kununua ndege. Mwita alishiriki uzinduzi wa safari za ATCL kwenda South Africa na alisafiri hadi bondeni.
Wamevizia kwenye madini nako wamechemka kwani jana tumeshuhudia BoT ikikabidhiwa mzigo wa kutosha wa madini.
Sasa wanavizia kwenye Taifa stars nako watachemka.
Mambo yote waliyopigania Chadema na Dr Slaa kwa zaidi ya miaka 20 Rais Magufuli ameyamaliza chini ya miaka mitatu, tumpongeze kwa kweli.
Jumapili njema
Maendeleo hayana vyama!
kweli kabisa watu wanataka wafanye siasa mda wote alaf kaz mda mchache hilo halikubaliki tupige kazi wa tz porojo hazifaiKuna wakati wa mikutano nyakati za kampeni na baada ya hapo ni kuchapa kazi tu!
Kama magufuli anajihamin kiasi Kwa nin anawabana wapinzani wasifanye mikutano na kutunga sheria za kuondoa uwazi sererekalinUkiwauliza hasa hoja yao kuu ni nini?
Watakwambia mara bashite kafanye vile, mara mikutano ya siasa na mambo mengine useless kabisa
Kuna baadhi ya watu siasa ni kaz kama katibu wa chama na mwenez wa chama usipende kukariri maishakweli kabisa watu wanataka wafanye siasa mda wote alaf kaz mda mchache hilo halikubaliki tupige kazi wa tz porojo hazifai
sasa ni bora hao ccm mana watendaji wao wote wana lipwa mishahara mpaka ngazi ya wilaya ila upinzani mshahara ni makao makuu tuu wengine wanapiga kazi bure wakiamini kuna siku watashika nchi walipwe wengine wamezeka hawaja pata kitu so nibora tupige kazi tutenge mda maalumu wa siasaKuna baadhi ya watu siasa ni kaz kama katibu wa chama na mwenez wa chama usipende kukariri maisha