Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
ni shidatakataka nyingine ni NIDA
Sio kosa moja hao hawajaanza leo. Serikali sio ya baba yako ni serikali ya watu kwaajili ya kuhudumia watu. Si tunawalipa Mishahara au.Unazingua yaani kosa moja Tu baba zetu watimuliwe kazi shenzi
Ukitaka namba ya waziri wa elimu ni PM umpigie tu simu hizi keroBiafsi naelekea kukata tamaa na application za chuo kikuu. Hiyo AVN sijui naipataje na deadline ni tar 5
Jamani hivi NACTE wanatatizo ganiHakuna kitu kinaleta hasira kama kudaiwa avn namba wakati wa kufanya application, Mimi nililazimika kusafiri hadi drsm pale jirani na chuo cha kodi kufuatilia hiyo kitu.Simu zao hazipatikani na hakuna msaada.
Hawa watu ni wazembe sana.Elimu bure
Ukitaka namba ya waziri wa elimu ni PM umpigie tu simu hizi kero
Mimi nimeandika email mara 2 hazijajibiwa kabisaHakuna kitu kinaleta hasira kama kudaiwa avn namba wakati wa kufanya application, Mimi nililazimika kusafiri hadi drsm pale jirani na chuo cha kodi kufuatilia hiyo kitu.Simu zao hazipatikani na hakuna msaada.
piga simu kwa waziri au naibu waziriMimi nimeandika email mara 2 hazijajibiwa kabisa
serikali ni kama ndimu usipoipiga haitoi majiBarua ya Wazi kwa Waziri wa Elimu kuhusu utendaji wa NACTE
Kwako waziri wa elimu,
Utendaji wa NACTE haulizishi kabisa.
Watoto wetu wanafuatilia AVN ili waweze kuapply vyuo vikuu hawapewi.
Kama watendaji wa NACTE wanakuwa wazembe kiasi hicho kwanini msibadirishe na kuweka watu wengine wanaoweza kufanya kazi hiyo kwa uharaka.
Kwanini wasiwaige NECTA mbona wanafanya kazi kwa weledi na uharaka wa hali ya juu.
Tafadhari Mh. Waziri tunaomba washughurikie hawa NACTE watoto wetu wanahitaji hizo AVN ili wajiunge na vyuo vikuu na deadline tayari zimeshakaribia.
ππππππππserikali ni kama ndimu usipoipiga haitoi maji