Utendaji wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu unaleta faraja na matumaini kwa watanzania

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Hakika sasa tunawaziri Mkuu mtendaji mwenye kujali kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Anancho kifanya waziri Mkuu ndicho haswa wanacho kitaka watanzania.

Sasa viongozi wengine, Mawaziri, wakuu wa Mikoa ma DC pamoja na watendaji wote mnapaswa kufuata nyayo hizo ili kupunguza kero za wananchi. Msibaki kuwa washangaaji, igeni utaratibu huo wa kusikiliza kwa makini kero za wananchi.
 
Chai
 
Aanze na serengeti kwanza,sio kuchana sharubu tu
 
Back
Top Bottom