Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Aisee upo vizuri bro, gunia zima kwa matumizi tu ya home!! safi sanaa.Stafeli ndo chai yangu ya Kila siku...
Mimi huwa nayaagiza Mtwara tsh 500-1000 limoja,basi huwa nanunua gunia zima kabisa kuja Dar From Mtwara,siku nikichoka kuagiza nanunua pale sokoni MABIBO,Zamani nilikuwa nanunua Posta kisutu,limoja Tsh 3000-5000.kila siku asubuhi nakunya juice yake...pekee huwa ni mwiko kuweka sukari kwenye juice yoyote nyumbani kwangu...napenda vitu asili...wengine mpaka juice ya Nanansi wanaweka Sukari...
Gunia zima...Aisee upo vizuri bro, gunia zima kwa matumizi tu ya home!! safi sanaa.
Ni kinga na tiba ya kansa, hata majani yake.
Mada ni stafel brazakaka.
hehehehe haya bhana.Nimekomenti komenti ya mdau hapo juu, sistadada.
Ukweli ni kuwa hiyo bei kubwa sana. Mwanzo ilikuwa 2000/= tu, watu waliipenda sana inaisha mapema kuliko juice zingine wakapata tamaa wakaongeza bei.Hahaha nimepanda ulivyowahi kujihami, glass elfu 3 tunda elfu 3.... aisee acha tu niende kisutu nikanunue tunda nitengeneze mwenyewe.... lol.
nitakuja kunywa juisi yako lakini ukinikaribishahehehehe haya bhana.
Daah bora tu nimsubiri my mum MBITIYAZA anitengenezee huko hapanifai aiseee.Ukweli ni kuwa hiyo bei kubwa sana. Mwanzo ilikuwa 2000/= tu, watu waliipenda sana inaisha mapema kuliko juice zingine wakapata tamaa wakaongeza bei.
Nikinunua stafeli za 8000/= napata juice nzito sana kama lita 4 hadi 5.
Sema kwa kijana ambae hajaoa/kuolewa hawezi kuvumilia usumbufu wa kuitengeneza. Bora lunch time hiyo kama anajieweza anazama hapo Rangers anapiga menu ya nguvu na glass 1 ya juice anasepa zake.
Sema bei ya chakula hapo sehemu sio ya mtu wa mshahara wa laki 4 au 5 hatanunua tofali.
Me mwenyewe nadoea... labda nikushtue siku nikialikwa.nitakuja kunywa juisi yako lakini ukinikaribisha
Mkuu huo mti kila kitu tiba.MBITIYAZA weka na faida zake mwilini
itapendeza zaidi.
Mmimi ninao huo mti nikikuwa nataka kuukata
sasa kama una faida sitaukata.
asa hapo duh!! mwalikwa nae anaalika ....si itakua ile wanasema unapandishwa lift hadi honi unapiga!Me mwenyewe nadoea... labda nikushtue siku nikialikwa.
Asante mkuu kwa darasa,Mkuu huo mti kila kitu tiba.
Hutibu saratani (cancer) na hulainisha choo,
Pia husababisha tumbo kuwa vizuri? n.k.
Oh!, hata Mimi nalipenda sana,hili tunda, hivi miche yake nawezaipata wapi Kwa hapa Dar?zuri kwakweli mwanangu !jaribu hiyo pia !nimebahatika kupata miche yake bas kila mara naiangalia ikue tu jaman !lol
Hahahaha nimepewa lift napiga honi....asa hapo duh!! mwalikwa nae anaalika ....si itakua ile wanasema unapandishwa lift hadi honi unapiga!
basi we fanya kwenda na kachupa unitiliemo humo kwenye kachupa
itabidi tu arrange kwakweli, wewe unataka glasi ngapi mkuu...Hahahaha nimepewa lift napiga honi....
Basi poa nitakuletea kwenye chupa kama wakiniruhusu kubeba lakini au kama vipi twende tu huko Rangers nasikia Glass elfu 8.
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Glass 3 zanitosha.... wewe je?itabidi tu arrange kwakweli, wewe unataka glasi ngapi mkuu...
Hivi kuna tofauti kati ya stafeli na topetope?
Ila stafeli tamuuu
mi moja tuu, tukishatoka ranger nitakupitisha na wewe pande flani ivii .....ama vipi!Glass 3 zanitosha.... wewe je?