Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Aisee upo vizuri bro, gunia zima kwa matumizi tu ya home!! safi sanaa.Stafeli ndo chai yangu ya Kila siku...
Mimi huwa nayaagiza Mtwara tsh 500-1000 limoja,basi huwa nanunua gunia zima kabisa kuja Dar From Mtwara,siku nikichoka kuagiza nanunua pale sokoni MABIBO,Zamani nilikuwa nanunua Posta kisutu,limoja Tsh 3000-5000.kila siku asubuhi nakunya juice yake...pekee huwa ni mwiko kuweka sukari kwenye juice yoyote nyumbani kwangu...napenda vitu asili...wengine mpaka juice ya Nanansi wanaweka Sukari...
Ni kinga na tiba ya kansa, hata majani yake.