Utengenezaji wa juisi ya Stafeli

Utengenezaji wa juisi ya Stafeli

Maandalizi ya juice yake yanataka usafi wa hali ya juu hasa kwenye kutoa mbegu
Ndio maana siwezi kuinywa popote zaidi ya nikiindaa mwenyewe
 
Maandalizi ya juice yake yanataka usafi wa hali ya juu hasa kwenye kutoa mbegu
Ndio maana siwezi kuinywa popote zaidi ya nikiindaa mwenyewe

mie hata juice za miwa sijawah inywa kwa mtu !kwenye chakula nina kinyaa kupitiliza !uzuri wa juice andaa mwenyewe huko mabarabaran kunywa maji,dompo,desperado teh !
 
Nalipenda sana tunda la Stafeli, sijawahi kupata juice yake nitajaribu.

Tanx for sharing.
Mkuu ni tamu balaa na pia wanasema ni tiba ya saratani(cancer).
Natengeneza nyumbani mara chache sababu inasumbua sana kuchuja zile nyuzi nyuzi huziba chujio na hazisagiki kwa blender.
Kama upo hapa Dar nenda pale posta mpya kuna mgahawa unaitwa Rangers karibu na New Africa Hotel ukitokea Askari monument.
Glass moja 3000/= tu.

NOTE: sina hisa na huo mgahawa.
 
Stafeli ndo chai yangu ya Kila siku...
Mimi huwa nayaagiza Mtwara tsh 500-1000 limoja,basi huwa nanunua gunia zima kabisa kuja Dar From Mtwara,siku nikichoka kuagiza nanunua pale sokoni MABIBO,Zamani nilikuwa nanunua Posta kisutu,limoja Tsh 3000-5000.kila siku asubuhi nakunya juice yake...pekee huwa ni mwiko kuweka sukari kwenye juice yoyote nyumbani kwangu...napenda vitu asili...wengine mpaka juice ya Nanansi wanaweka Sukari...
 
Mrs 900:we hata huyapendi mastafeli usianze hapa
 
Hivi kuna tofauti kati ya stafeli na topetope?

Ila stafeli tamuuu
 
Mkuu ni tamu balaa na pia wanasema ni tiba ya saratani(cancer).
Natengeneza nyumbani mara chache sababu inasumbua sana kuchuja zile nyuzi nyuzi huziba chujio na hazisagiki kwa blender.
Kama upo hapa Dar nenda pale posta mpya kuna mgahawa unaitwa Rangers karibu na New Africa Hotel ukitokea Askari monument.
Glass moja 3000/= tu.

NOTE: sina hisa na huo mgahawa.
Hahaha nimepanda ulivyowahi kujihami, glass elfu 3 tunda elfu 3.... aisee acha tu niende kisutu nikanunue tunda nitengeneze mwenyewe.... lol.
 
Back
Top Bottom