Utengenezaji wa karatasi kutokana na nnya ya tembo

Utengenezaji wa karatasi kutokana na nnya ya tembo

livvy

Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
21
Reaction score
14
Katika pitapita zangu youtube nikakutana na video inayoonyesha jinsi wanavyotengeneza karatasi kutokana na nnya ya tembo. It is amazing aisee, paper from elephant poo..hii ndo recycling sasa😀


 
sawa boss... tuna hifadhi za kutosha hivyo malighafi zina patikana za kutosha... twende tuka wauzie tupate forex au fedha za kigeni...

Namba moja aliangalie hili kama fursa kwa taifa... ahamasishe ufugaji wa tembo... wizara ya ufugaji na biashara walione hilo... waturuhusu kuingia mbugani na hifadhini kukusanya mitondoo ya wanyama tembo...

kiwandani zitakapokua zinatengenezwa ndo patachafuka..finished product haina uchafu wowote..cheki video ujionee..
 
Nnya ya tembo syo nyara ya garmento!
Nnya yenyewe kuipata shuguli

Ova
well its just an idea nimeiona nikaamua kushare..inawezekana yakawa yamejaa tu huko mbugani hayana pa kwenda.
 
Wee, maliasili wakikukamata utaimba nyimbo zote za saida karoli!
sio lazima mimi ndo niimplement..natoa wapi mm nnya ya tembo..kama wataona lina mantiki watalifanyia kazi wao wenyewe.
 
Back
Top Bottom