Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiwandani zitakapokua zinatengenezwa ndo patachafuka..finished product haina uchafu wowote..cheki video ujionee..mnataka kutuchafua maofisini na madarasani??
kiwandani zitakapokua zinatengenezwa ndo patachafuka..finished product haina uchafu wowote..cheki video ujionee..
hahahaaa tutaomba vibali..lol umenichekeshaaMaliasili wakukute na huo mzigo utawaonyesha ni tembo yupi aliyekunya.
well its just an idea nimeiona nikaamua kushare..inawezekana yakawa yamejaa tu huko mbugani hayana pa kwenda.Nnya ya tembo syo nyara ya garmento!
Nnya yenyewe kuipata shuguli
Ova
Mtakapohitaji mavi ya mbwa mnistuewell its just an idea nimeiona nikaamua kushare..inawezekana yakawa yamejaa tu huko mbugani hayana pa kwenda.
sio lazima mimi ndo niimplement..natoa wapi mm nnya ya tembo..kama wataona lina mantiki watalifanyia kazi wao wenyewe.Wee, maliasili wakikukamata utaimba nyimbo zote za saida karoli!