Ni kitu mkuu, kuna watu hata ku edit video hawajui, hivyo kwa average user ana upload video facebook ama insta kwake ina faida (na ndio soko wanalotarget wao)
Ila kwa proffesional movie maker Hapana, wanatumia camera ambazo ni natural kabisa. Kama kuna edit itafanywa baadae.
Kama una edit picha ama video utaona kuanzia monitor mpaka source ya material ni lazima zioneshe natural color kabisa, simu zinakuwa na post process ya software sijui kuifanya ngozi iwe soft, ku sharpen picha na vionjo vyengine kutufanya tuwe wazuri, proffesional hawahitaji hizi effects, wakitaka wanazi weka wenyewe baadae