Well said[emoji122][emoji122][emoji122]technology ya kukimbizana na masimu ni upumbavu.....As a real man jinunulie kismartphone chako cha kueleweka ambacho toleo lake angalau ni indate then endelea na majukum mengine.
Habar za kukimbizana na matoleo mapya kila siku ni utoto na kukosa majukum[emoji23][emoji23][emoji23]....haya mambo waachieni wauza sura huko insta&tiktok, humu ni kazi kazi tuu wajombaa
Nimegoogle patupu.Kuna movie amecheza Cherize Theron. Imetengenezwa na iphone.
Ni kitu mkuu, kuna watu hata ku edit video hawajui, hivyo kwa average user ana upload video facebook ama insta kwake ina faida (na ndio soko wanalotarget wao)Nimesahau jina. Kwa hiyo mkuu unasema hii feature ya cinematic wanayotangaza kuiweka si kitu?
Hata iwarahisishie namna gani wale jamaa ubunifu bado haupo. Unakuta mtu mmoja kahodhi kila kitu. Yy ndo script writer, producer, casting yy, starring yy, director yy.Itawarahisishia sana
Kuna movie amecheza Cherize Theron. Imetengenezwa na iphone.
Siriazi?Download hii Text Scanner [OCR] playstore
Text Scanner [OCR]Siriazi?
Duh kumekuchaText Scanner [OCR]
Halafu hilo ni suala la kuinstall app tu, hata kama ni iphone 7hiyo ya kupiga picha na kuextract maneno mbona ipo tangia zama za mawe za kati mkuu
yaan naskip comments nisome za chief tu, huyu mwamba nshamwambia hilo tangu comment yangu ya kwanza kuwa hizo movie wanamaanisha kwa hawa socialites tu. Movie yenye quality kabisa ya kusambazwa kwa njia zote na kuonekana mahali pote huwezi shoot kwa iPhoneNi kitu mkuu, kuna watu hata ku edit video hawajui, hivyo kwa average user ana upload video facebook ama insta kwake ina faida (na ndio soko wanalotarget wao)
Ila kwa proffesional movie maker Hapana, wanatumia camera ambazo ni natural kabisa. Kama kuna edit itafanywa baadae.
Kama una edit picha ama video utaona kuanzia monitor mpaka source ya material ni lazima zioneshe natural color kabisa, simu zinakuwa na post process ya software sijui kuifanya ngozi iwe soft, ku sharpen picha na vionjo vyengine kutufanya tuwe wazuri, proffesional hawahitaji hizi effects, wakitaka wanazi weka wenyewe baadae
Hiyo Tangerine ilisambazwa sana na ilifanya poa tu kwenye box office. Movie nyingi serious unaweza tengeneza kwa iphone na zikatoka na quality ukashindwa kutofautisha na hizi traditional movies.yaan naskip comments nisome za chief tu, huyu mwamba nshamwambia hilo tangu comment yangu ya kwanza kuwa hizo movie wanamaanisha kwa hawa socialites tu. Movie yenye quality kabisa ya kusambazwa kwa njia zote na kuonekana mahali pote huwezi shoot kwa iPhone
Hiyo Tangerine ilisambazwa sana na ilifanya poa tu kwenye box office. Movie nyingi serious unaweza tengeneza kwa iphone na zikatoka na quality ukashindwa kutofautisha na hizi traditional movies.
Mkuu hivi Camscanner inafanya hiyo OCR? au ni app gani ya android ambayo ni the best katika kufanya hiyo OCR?Mbona simu zote unaweza fanya Ocr mda mrefu sana pengine miaka 10 ama 20 iliopita. Hata hao iphone app zipo kibao tangu mda sana.
Siijui hii! Via scannerhiyo ya kupiga picha na kuextract maneno mbona ipo tangia zama za mawe za kati mkuu
Camscanner inafanya ndio, na karibia big players wote wana hizi app, seems zinalipa sana kukusanya data. Kuna Adobe scan, msft office/onenote, Google doc/keep etc.Mkuu hivi Camscanner inafanya hiyo OCR? au ni app gani ya android ambayo ni the best katika kufanya hiyo OCR?