Utengenezaji wa movie umerahisishwa sana na hii iphone 13



Ukiona hizo shot on iphone movie ujue zimeundwa kwa mazingira perfect kabisa kama mwanga sahihi, kupunguza mtikisiko kwa kutumia gimbal nk. Kwahiyo haireflect matumizi ya kawaida. Yaani ni kama cheating hivi. Wewe ukichukua video haiwezi fanana na yao. Na physics siku zote lazima ishinde, sensor za simu kwa ukubwa ni ndogo sana ukilinganisha na sensor za camera za kawaida. Kwahiyo lazima zitaingiza mwanga mwingi na kutengeneza natural bokeh.
 
hiyo ya kupiga picha na kuextract maneno mbona ipo tangia zama za mawe za kati mkuu
Hakuna app kama hiyo, huwezi kupiga picha maneno(words) bali maandishi(text) na kisha ubadili kwa hiyo ocr kuwa word document. Kwa habari ya maneno ( words au matamkwa)kwa word document, lazima uwe na app ya speech to text converter na urekodi au udictate maneno hayo si upige picha.
 
Nadhani ni ishu ya kipato bro tukubali uhalisia pia kila mtu Ana maisha yake,ama passion yake,unayependa kula vizuri, mwingine kuvaa vizuri,yule kutunza mahela benki, mwingine kuhonga Sana, mwingine Bata viwanja Sana, wewe mpe mchungaji , juma saidia Sana masikini. So usiwapangie maisha Mana hujawpaa hela pia sio zako.

Hii kauli umeongea mpaka ukajulikana akaunti Ina Bei gani benki na sidhani Kama unayo akaunti ambayo Ina miaka kumi and above.

Ungekuwa na kipato Cha laki 5 kwa siku Nina Imani Leo hii usingeongea hii kauli mkuu
 
Move gani hiyo iliyotengenezwa na Iphone 6?? Nitajie jina
 
Camscanner inafanya ndio, na karibia big players wote wana hizi app, seems zinalipa sana kukusanya data. Kuna Adobe scan, msft office/onenote, Google doc/keep etc.
Ok, nilikuwa sijui. Thanks
 
[emoji16]
[emoji16]
[emoji16]

[emoji86]
 
Ukijali mambo yako sana huwezi kuwaza huu ujinga .

Anunue simu ya bei mbaya asininue wewe ni Nani kwenye maisha yake Hadi u care kiasi hivyo.

Unampa hela ya kula .?

Ukijali mambo yako maisha yanakuwa simpo Sana

Tatizo linakuja pale unapotaka mfanane na kila mtu nakuhakikishia lazima itakuuma tu[emoji1787][emoji1787]

Hakuna mwanaume wa kweli au mwanaume wa uongo

Mind your goddambed business
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe ni zero

Jiulize ni kwanini makampuni yanaendelea kutoa matoleo mapya kila siku
 
Mwishoni wanaonyesha walivyokuwa wanashot. Kama iphone six ilifanya hayo, vipi hii ya 13 ambayo wanasema wameiwekea cinamatic mode?
uliishajaribu kutumia iphone 6 kurekodi video mkuu!!!
jaribu utagundua kuna sehemu tunapigwa.
 
hiyo ya kupiga picha na kuextract maneno mbona ipo tangia zama za mawe za kati mkuu
Watu tumescan CHANDY yote ya Physics na smartphone tukaweka kama ka pdf tu ka MBs kadhaa! Hata ile Nelkon tuliscan enzi hizo ye anaona mashikoro mageni..

Pia ya ku extract maneno ni miaka mingi ipo na ni rahisi.
 
Ee Bana eeh! Hilo trailer hapo chini , limetengenezwa na iphone 13. Inabidi bongo movie wajipange wachukue kitu. Alafu wabongo tunapenda sana mambo hizi za drama na movies , ila saa sijui wanafeli wapi. Hili soko wangewekeza kama K-drama , aisee - watu wangepiga pesa
 
Ndiyo wakosaji walivyo Mkuu. Wao huwa wanadhani maisha yao wao ndiyo maisha ambayo kila mtu anastahili kuyaishi.

 
Fursa mkuu. Ichukue, anza hata kutengeneza court au workplace comedy. Gharama zake ndogo sana.
 
Fursa mkuu. Ichukue, anza hata kutengeneza court au workplace comedy. Gharama zake ndogo sana.
Nipo kwenye industry ya movies , nadili na movies za kutafsiliwa - Asikuambie mtu entertainmant inalipa . Ni mtaji tu ndo tatizo ila maono ninayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…