Tunapigwa tena sio kidogo, yani nikiangilia hio video hapo kwenye link na Iphone 6 yenyewe ni v2 viwil tofautuliishajaribu kutumia iphone 6 kurekodi video mkuu!!!
jaribu utagundua kuna sehemu tunapigwa.
Mjomba iphone kwenye camera , ndo wenyewe . Hapo hakuna janja janjaTunapigwa tena sio kidogo, yani nikiangilia hio video hapo kwenye link na Iphone 6 yenyewe ni v2 viwil tofaut
Kazi yake nini? Kuandika hadithi stori au?Kwakweli ujinga ni mzigo. Nimekuwa nanakili vitabu vizimavizima. Na kuanza kuviedit. Ningejua hii si ni kazi ya sikumoja tu!!
Shukrani sana.
zero n ww usie na akil za kuchambua mambo, wao wako kibiashara zaid hawajar wew unamilk kifaa gan kinacho kidhi mahitaj yak au una uwezo gan, wao wanaangalia pesa tu, that's why matoleo ya sim yanaibuka kila leo, lengo ni kuwatunza wateja wao na mashabik wa bidhaa zao , full stop, izo sabbu zingne hazimake sense, ndiomaana hilo toleo halina utofaut sana na toleo lililopita.hi pia ni sabbu inayowafanya makampuni ya tecno& infinix kukua sabbu ya kuachia bidhaa kila baada ya muda, na kutoachia gap la makampun mengine kukiki zaidiWewe ni zero
Jiulize ni kwanini makampuni yanaendelea kutoa matoleo mapya kila siku
acha ubishi, mi natumia note 9 mwaka wa pili huu na hio function ipo unapiiga picha ina extract maandishi pia inaweza kutafsiri kwenda lugha utakayochagua. hii function ya kuextract word toka kwa picha ipo kwa android long tuHakuna app kama hiyo, huwezi kupiga picha maneno(words) bali maandishi(text) na kisha ubadili kwa hiyo ocr kuwa word document. Kwa habari ya maneno ( words au matamkwa)kwa word document, lazima uwe na app ya speech to text converter na urekodi au udictate maneno hayo si upige picha.