Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Hivi vitu vya kutengenezea mitaani havijathibitishwa hata na TBS nna mashaka navyo Sana.
 
haya mahitaji naweza kununua wapi nianze kutengeneza hizo sabuni mkuu
 


Juzi nimeona TCCIA wamewaleta wahindi wanaotengeneza sabuni kuja kutangaza bidhaa zao hapa, nikajiuliza kila siku tunahamasisha watu waende VETA, SIDO na sehemu zingine kujifunza kutengeneza bidhaa hizo hizo, lakini badala ya kuwawezesha zaidi tunawaletea ushindani unaowaminya zaidi. Serikali hizi zetu za kijamaa zilizovaa ngozi ya kibepari (or is it the other way round?), sijui wanafikiriaga nini?

Binafsi ningependa sana kutengeneza bidhaa kwa sababu nina experience ya kuanzisha na kujenga biashara nyingine, ila kuna maeneo mazingira bado siyo rafiki. Labda siku moja.
 

Inahitaji mtaji kiasi gani uwekezaji huu
 
Khasante sana mdau malighafi za kutengenezea sabuni yanapatikana wapi
 
Na kuna sabani zinatoka Kenya zinaitwa jamaa naona watu wanazipenda mmoja wapo Mimi ni soft sana ,aziishi haraka na zina pivu lingi na zinatakatisha kwa haraka ivi wanatumia malighafi gani?
 
hi


hi, asantetunaomba maelezo zaidi plz - wapi tupate vifaa hivyo na bei zake ikiwezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…