nickhubert
Senior Member
- Jun 17, 2015
- 113
- 25
malighafi zina cost sh 25000 yan shilingi elfu ishirini na tano
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
malighafi zina cost sh 25000 yan shilingi elfu ishirini na tano
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
Nick,UTENGENEZAJIWASABUNI ZA MICHE FUNGUA HAPA KUJIFUNZA View attachment 376326
UTENGENEZAJI WA SABUNI ZA MICHE
A)MAHITAJI:-
Kostik soda ya unga au ya mabonge Maji safi Mafuta ya mise/pamba/nazi/mawese n.k Rangi ya kutengenezea sabuni za miche(blue/pink/kijani n.k Marashi upendayo lemon/apple n.k Tanbihi:kama unata kutengeneza sabuni za tiba(virutubisho)utahitaji kuwa na kirutubisho unacho taka kutumia kwa mf:Aloe Vera/Ubuyu/Papai/Mwarobaini n.k Box la kutengenezea sabuni na vibao vya kukatia sabuni vyenye ukubwa wa mche wa sabuni. Ndoo kubwa za maji angalau 3 na ndoo ndogo 3,conduse ya plastiki kwa ajili ya kukorogea.Sodium Siliket,magadi soda,Hydrometa nzito pamoja na meza ya kukatia sabuni.
Kanuni:-
kostik kg 1 Maji lita 3 Mafuta lita 6 Sodium siliket grm 500 Magadi soda vijiko vikubwa vya chakula 10 Rangi kijiko 1 cha chakula Pia utahitaji eneo la kufanyia kazi pamoja na rasilimali watu angalau wawili. Loweka kostik soda kwa masaa 24,kasha ikoroge na uipime nguvu yake kwa kutumia hydrometa iwe bomee 25-30bm Ikiwa imezidi bm 30 haifai kwa matumizi ya binadamu ipunguze nguvu kwa kuongeza maji kiasi na upime tena,chukua ndoo ndogo ya maji na uweke mafuta,soda ash,sodium siliket,manukato na uchukue mafuta kidogo uweke kwenye spray(kiasi cha nusu lita)na uchananye na rangi au virutubisho na ukoroge vizuri baada ya kukoroga vizuri changanya na kostik soda koroga tena mpaka ichanganyike vizuri weka nailoni laini kwenye box kuzuia mchanganyo wa sabuni kumwagika(kuvuja) anza kupulizia rangi kwenye box na endelea kumimina mkorogo(mchanganyo wa sabuni kidogo kidogo huku ukiendelea kupulizia rangi kwa awamu mpaka mwisho mwisho weka contena la sabuni(box)kwenye sehemu nzuri ambapo ardhi imenyooka na usubiri kwa masaa 24 bonge la sabuni litakuwa tayari kukatwa na ili sabuni ikauke vizuro anika chini kwenye sakafu lakini tanguliza magazeti na chumba kisiwe chenye kuingiza mwanga wa jua.
sawa mkuu nashukuru na ww tembelea blog yangu utajifunza sabuni nyingi nicksontz.blogspot.comNick,
Asante sana kwa elimu hii.
Hizi ndizo nyuzi za kuleta katika jukwaa na kuzizungumzia sababu ni za maendeleo.
Nitakutafuta Niko kigamboni.
Narudia tena...asante sana wewe ni mwana jamii bora.
Haya majibu mepesi sana.Sasa ukimwambia mtu mahitaji unapata Mwenge na Kigamboni.Ina maana akifika Mwenge tu au Kigamboni atakuwa amepata?Kwa nini msitoe maelekezo ya kina?unaweza pata mwenge au kigamboni
haya mahitaji naweza kununua wapi nianze kutengeneza hizo sabuni mkuu
Tunashukuru kwa somo,, mkuu chumvi kiasi gan?JIFUNZE KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI YA KUNAIWIA MIKONO View attachment 376324
Moja kati ya mahitaji makubwa ya watu ikiwemo wafanyabiashara za mama lishe,mabucha na nyingine,ni sabuni ya kunawia.Kutokana na mahitaji makubwa waliyonayo watu na kukosekana kwa bidhaa hiyo wahitaji hujikuta wakitumia sabuni ambazo hazikutengenezwa kwa kazi hiyo kama sabuni za unga,shampoo na sabuni za vipande ambazo huwasababishia madhara bila kujijua. Leo katika somo letu tutajifunza jinsi ya kutengeneza sabuni za kunawia mikono.fuatana nami mwanza mpaka mwisho.
MAHITAJI; .
Sulphonic acid .soda ash .maji yaliyochujwa vizuri .pafyum .Rangi yoyote inayovutia .sless .Chumvi
JINSI YA KUTENGENEZA.
Andaa vizuri chombo chako kwaajili ya kutengenezea sabuni yako kama ndoo au pipa pamoja na kuandaa malighafi zako huku ukizingatia usafi. Tanguliza kumimina ssulphonic acid vijiko vitano vya chakula kwenye chombo chako. Endelea kuweka soda ash iliyochanganywa na maji vijiko vitatu vya chai. Weka maji lita tano ukifuatiwa na sless robo lita,chukua pafyum yoyote na uweke kijiko kimoja na nusu cha chai. Ongeza rangi kijiko kimoja cha chai na uanze kunyunyizia chumvi ambayo huleta uzito na kufanya sabuni yako isiharibike na kukaa muda mrefu. Koroga vyote kwa pamoja kwa muda wa dakika ishirini na sabuni yako itakuwa tayari.
Tunashukuru kwa somo,, mkuu chumvi kiasi gan?
Na hyo soda ashh unaweka vijiko vitatu! Na maji kivip yaan soda ash iwe kiasi gan na maji yawe kiasi gan je mwisho unapta lita ngapi??? Asante ya utanguliziJIFUNZE KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI YA KUNAIWIA MIKONO View attachment 376324
Moja kati ya mahitaji makubwa ya watu ikiwemo wafanyabiashara za mama lishe,mabucha na nyingine,ni sabuni ya kunawia.Kutokana na mahitaji makubwa waliyonayo watu na kukosekana kwa bidhaa hiyo wahitaji hujikuta wakitumia sabuni ambazo hazikutengenezwa kwa kazi hiyo kama sabuni za unga,shampoo na sabuni za vipande ambazo huwasababishia madhara bila kujijua. Leo katika somo letu tutajifunza jinsi ya kutengeneza sabuni za kunawia mikono.fuatana nami mwanza mpaka mwisho.
MAHITAJI; .
Sulphonic acid .soda ash .maji yaliyochujwa vizuri .pafyum .Rangi yoyote inayovutia .sless .Chumvi
JINSI YA KUTENGENEZA.
Andaa vizuri chombo chako kwaajili ya kutengenezea sabuni yako kama ndoo au pipa pamoja na kuandaa malighafi zako huku ukizingatia usafi. Tanguliza kumimina ssulphonic acid vijiko vitano vya chakula kwenye chombo chako. Endelea kuweka soda ash iliyochanganywa na maji vijiko vitatu vya chai. Weka maji lita tano ukifuatiwa na sless robo lita,chukua pafyum yoyote na uweke kijiko kimoja na nusu cha chai. Ongeza rangi kijiko kimoja cha chai na uanze kunyunyizia chumvi ambayo huleta uzito na kufanya sabuni yako isiharibike na kukaa muda mrefu. Koroga vyote kwa pamoja kwa muda wa dakika ishirini na sabuni yako itakuwa tayari.
Dah kaka yangu bado naisoma mara mbili mbili napitea hapo unaposema soda ash n pakti moja halafu utie vijiko vitatu vya chakula vya chai then maji ......mhh naomba ufafanuz hapopakt moja
sulphonic acid lita/kilo1Na hyo soda ashh unaweka vijiko vitatu! Na maji kivip yaan soda ash iwe kiasi gan na maji yawe kiasi gan je mwisho unapta lita ngapi??? Asante ya utangulizi
nayauza, amesahau griselin na jiki pia kulingana na matumizi.haya mahitaji naweza kununua wapi nianze kutengeneza hizo sabuni mkuu