Haya mafunzo kwa email bado ipo?habari za leo wakuu nafundisha jinsi ya KUTENGENEZA sabuni ya mche , sabuni za maji , sabuni ya unga ,mafuta ya kujipaka , na nk masomo haya yote nafundisha kwa njia ya EMAIL AU WHATSAPP KWA MCHANGO WA SH 5000 TU nitakufundisha kutengeneza vitu vyote pia nitakuunganisha na wauzaji wa malighafi za kutengeneza hizo bidhaa karibuni , ,,,,,kwa atakaye hitaji nichek whatsp kwa no 0753606603
Kwema kaka? Hiyo ya sabuni mashine zinapatikanaje?
Uko wapi tukupe Namba za simu kama ikiwezekanaBasi tuuzie na hiyo Mali ghafi
Sabuni ya maji ni Sabuni inayopendwa na watu wengi sana katika shughuli mbalimbali kama vile kufulia,kuoshea vyombo,magari ,kutumika katika shughuli za usafi na mambo mengine mbalimbali na Sabuni hii inaweza kumletea MTU faida Mara mbili hadi tatu kulingana na kuwa Sabuni hii mtaji wake mkubwa ni maji .
NOTE:Sabuni nyingi za maji zimekosa ubora kwa sababu ya watengenezaji wake kutozingatia hatua na vipimo maalumu Vya utengenezaji wa bidhaa hiyo hivyo basi na kufablnya Sabuni hiyo ikose ubora wake na kubakia kuwa kama maji yaani Sabuni isiyokuwa na uzito unaofaa
NINI KIFANYIKE ILI KUPATA SABUNI YENYE UBORA?
fuatana nami hatua kwa hatua jinsi ya utengenezaji wa bidhaa hii adhimu
MALIGHAFI ZINAZO HITAJIKA
1.Maji Lita nane
2.salphoniki asidi vijiko sita Vya chakula
3.sodash vijiko viwili Vya chai changanya na maji robo lita koroga
4.CMC vijiko viwili Vya chai changanya na maji robo Lita koroga
5.silesi nusu Lita
6.formalin kijiko kimoja cha chai
7.grycerlin vijiko 12 Vya chakula
8.rangi ya Sabuni ya maji robo kijiko cha chai
9.perfume kijiko kimoja cha chai au viwili
10 .chumvi maalumu au waweza tumia ya kawaida ukiikosa hiyo chumvi maalum kipimo ni robo Lita au zaidi weka polepole kwa kunyunyiza mpaka itakapokuwa nzito.mwisho koroga dakika nane mfululizo kuelekea upande mmoja tu
NOTE: Unapoweka kitu kimoja baada ya kingine zipishane dakika tatu tatu ,na koroga kwa kuelekea upande mmoja tu bila ya kugeuza au kusimama mpaka utakapomaliza .baada ya hapo Sabuni yako itakuwa tayari kwa matumizi
Kwa maswali mbalimbali na VITABU Vya utengenezaji bidhaa hizo wasiliana na 0743550599 kitakufikia ulipo kwa email au njia ya whatsap

Malighafi kariakoo yanapatikanamahitaji yanapatikana wapi
Kwa mwanza ntapata wapi hizo maligafiSabuni ya maji ni Sabuni inayopendwa na watu wengi sana katika shughuli mbalimbali kama vile kufulia,kuoshea vyombo,magari ,kutumika katika shughuli za usafi na mambo mengine mbalimbali na Sabuni hii inaweza kumletea MTU faida Mara mbili hadi tatu kulingana na kuwa Sabuni hii mtaji wake mkubwa ni maji .
NOTE:Sabuni nyingi za maji zimekosa ubora kwa sababu ya watengenezaji wake kutozingatia hatua na vipimo maalumu Vya utengenezaji wa bidhaa hiyo hivyo basi na kufablnya Sabuni hiyo ikose ubora wake na kubakia kuwa kama maji yaani Sabuni isiyokuwa na uzito unaofaa
NINI KIFANYIKE ILI KUPATA SABUNI YENYE UBORA?
fuatana nami hatua kwa hatua jinsi ya utengenezaji wa bidhaa hii adhimu
MALIGHAFI ZINAZO HITAJIKA
1.Maji Lita nane
2.salphoniki asidi vijiko sita Vya chakula
3.sodash vijiko viwili Vya chai changanya na maji robo lita koroga
4.CMC vijiko viwili Vya chai changanya na maji robo Lita koroga
5.silesi nusu Lita
6.formalin kijiko kimoja cha chai
7.grycerlin vijiko 12 Vya chakula
8.rangi ya Sabuni ya maji robo kijiko cha chai
9.perfume kijiko kimoja cha chai au viwili
10 .chumvi maalumu au waweza tumia ya kawaida ukiikosa hiyo chumvi maalum kipimo ni robo Lita au zaidi weka polepole kwa kunyunyiza mpaka itakapokuwa nzito.mwisho koroga dakika nane mfululizo kuelekea upande mmoja tu
NOTE: Unapoweka kitu kimoja baada ya kingine zipishane dakika tatu tatu ,na koroga kwa kuelekea upande mmoja tu bila ya kugeuza au kusimama mpaka utakapomaliza .baada ya hapo Sabuni yako itakuwa tayari kwa matumizi
Kwa maswali mbalimbali na VITABU Vya utengenezaji bidhaa hizo wasiliana na 0743550599 kitakufikia ulipo kwa email au njia ya whatsap
naomba namba za simu ikiwezekana na total ya hela yote ya mahitaji hayo sihitaji kuzunguka sana nataka nipokee mahitaji yote