Utengenezaji wa silaha za kivita duniani

Utengenezaji wa silaha za kivita duniani

Hakuna Dunia bila silaha labda mbinguni, silaha ni ulinzi

Imagine wezi na majambazi wangeiba na kuua watu kila sekunde zaidi ya watu 100 ungesikia wameiliwa kwa siku na wezi, vibaka na majambazi kwasababu jeshi la polisi hawana silaha Nini kiwaogopeshe.

Imagine hapo kwako usiwe hata na panga wezi wataiba na kukuoiga makofi

Imagine nchi isiwe na silaha ingekuwa inainhikiwa na nchi nyengine au vikundi vya kiharifu tu kweupe vhukulia Malawi ilivyoanza mgogoro kwenye ziwa nyasa

Nchi kazima iwe na silaha kujilinda, majeshi, familia inabidi iwe hata na panga ndani, msela inabidi uwe na panga geto, mwanmke ukitembea Usiku uwe hata na kashoti kwa kumdhibiti mwizi

Dunia haitohitaji silaha mpaka pale kilamtu atapokuwa msafi Kama mtoto mchanga

Tatizo ni ubinafsi.
Binadam kw mbinafsi kuliko wanyama.
Maisha yangeboreshwa na kuwa level moja kwa kila mtu (Anapata mahitaji yote muhimu)
Tusingelikuwa na Jambazi Au kibaka.
Matatizo yote yangeweza kutatuliwa kwa njia za Amani na si vita Au kuua wengine.
 
Back
Top Bottom