Utengenezaji wa wine ya ndizi

Utengenezaji wa wine ya ndizi

Makini Buz

Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
21
Reaction score
9
Naamini wanajukwaa mko wazima.
Naomba kufahamu jinsi ya kutengeneza wine ya ndizi kwa wataalamu wanaofahamu.

Shukran
 
Naamini wanajukwaa mko wazima.
Naomba kufahamu jinsi ya kutengeneza wine ya ndizi kwa wataalamu wanaofahamu.

Shukran

Ngoja Tumuulize Mchezaji Samuel Etoo Anayetupiwa Ndizi Na Wazungu Kila Mara Awapo Uwanjani Atusaidie!
 
Inategemea ni aina gani ya wine unayotaka kutengeneza, mana kuna sweet wine, semi sweet wine na dry wine, kwa taarifa ziadi ni pm namba yako
 
Hiyo pombe nasikia ni hatari sana na inaleta hasira
Kwasababi wanasema wanapo tengeneza wanatumia na amila kwahiyo ukinywa hiyo pombe ile amili inaenda kutanua moyo.
 
Hiyo pombe nasikia ni hatari sana na inaleta hasira
Kwasababi wanasema wanapo tengeneza wanatumia na amila kwahiyo ukinywa hiyo pombe ile amili inaenda kutanua moyo.

Mkuu kuna ukweli wowote kwamba amira hutanua moyo? au ni uzushi tu
 
kama bado nijulishe nikupe somo bure uburudike na banana wine
 
Kwani wewe nawe wahitaji kujifunza???
Nimeshapiga hatua ila nimekosa champagne yeast! Kama unaweza nielekeza pa kuzipata ntashukuru. Hizi za kawaida zinaleta harufu siyo nzuri sana kwenye kinywaji.
 
Back
Top Bottom