Makini Buz
Member
- Jan 13, 2015
- 21
- 9
Naamini wanajukwaa mko wazima.
Naomba kufahamu jinsi ya kutengeneza wine ya ndizi kwa wataalamu wanaofahamu.
Shukran
Naomba kufahamu jinsi ya kutengeneza wine ya ndizi kwa wataalamu wanaofahamu.
Shukran
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini wanajukwaa mko wazima.
Naomba kufahamu jinsi ya kutengeneza wine ya ndizi kwa wataalamu wanaofahamu.
Shukran
Hiyo pombe nasikia ni hatari sana na inaleta hasira
Kwasababi wanasema wanapo tengeneza wanatumia na amila kwahiyo ukinywa hiyo pombe ile amili inaenda kutanua moyo.
Mkuu kuna ukweli wowote kwamba amira hutanua moyo? au ni uzushi tu
Somo hili bado linatolewa?hakuna ukwli hapo ni uzushi mtupu, hamira kwenye wine haina madhala yeyote
Kwani wewe nawe wahitaji kujifunza???Somo hili bado linatolewa?
Nimeshapiga hatua ila nimekosa champagne yeast! Kama unaweza nielekeza pa kuzipata ntashukuru. Hizi za kawaida zinaleta harufu siyo nzuri sana kwenye kinywaji.Kwani wewe nawe wahitaji kujifunza???
Mkuu nahitaji sana hayo maarifa hebu shusha nondo...kama bado nijulishe nikupe somo bure uburudike na banana wine