UTENGUZI: Rais Samia awatumbua Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TASAC, Posta na Posta Masta. Avunja Bodi ya Wakurugenzi Posta

Wajumbe wa Bodi TASAC:​


Prof. Tadeo Andrew Satta​

Mwenyekiti wa Bodi Prof. Thadeo Andrew Satta.




Soma zaidi.
Mjumbe wa Bodi Mr. Ngosengwa D. Mchome

Soma zaidi.

Mjumbe wa Bodi Capt. Mussa H. Mandia​

Mjumbe wa Bodi
Soma zaidi.

Mjumbe wa Bodi Mr. Renatus Mkinga​

Mjumbe wa Bodi
Soma zaidi.

Mr. Said A. Nzori​

Mjumbe wa Bodi
Soma zaidi

Source : Wajumbe wa Bodi |Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania


Habari zaidi:
Toka katika archives za intaneti

April 6 2021

"Jambo lililoniudhi zaidi kwa mwaka mmoja TASAC mmefanya vikao 23 vya bodi na imetumiwa karibu Sh600 milioni, ukiangalia kilichozungumzwa na tija ya vikao hivyo hakuna.” mwisho wa kumnukuu Mh. Rais Samia Suluhu Hassan .
 
Pole zao. Dar Es Salaam ni mji mkubwa, hawatokosa kazi ya kufanya.
 
10 October 2020
Dar es Salaam, Tanzania



Posta Masta Mkuu Wa Shirika la Posta Tanzania Hassan Mwang'ombe akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa maadhimisho ya miaka 146 ya Posta duniani na kuweka wazi mikakati ya Shirika hilo kujikita katika mfumo wa kidijitali ili kuongeza faida

Akizungumza na waandishi wa Habari Dar Es Salaam, tarehe 10 Oktoba 2020 katika maadhimisho ya miaka 146 ya posta duniani, Posta Masta Mkuu wa shirika hilo,Hassan Mwan'gombe Shirika limeweza kupata faida kubwa na kuweza kutoa gawio la serikalini Milioni 350 kutokana na mfumo wa kidijitali.

source: issamichuziblog
 
Nilishasema katika vitu Mama hajaniangusha, amerithi kutoka kwa mtangulizi wake ipasavyo ni hii tengua tengua na utumbuaji. Anaitendea haki hii tasnia

Kwa kutucheleweshea angalau katelefoni, dotto mlipa madeni, ripoti za BOT, TPA, na ile tume ya kale ka mafua; mwezi mzima angali anausoma mchezo?

Wajameni, hizi ngoja ngoja haya matumbo kweri yatasalimika?

Kama ni mechi bado yuko nyuma bao kama 3 safi bila majibu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 

Mada Moto : Mzee Renatus Mkinga akiainisha Changamoto katika sekta ya Bandari - 27.11.2015


Mzee Renatus Mkinga awasamehe Rais Magufuli na Waziri Mkuu Majaliwa kwa kukosa uelewa wa shughuli za uwakala wa meli na bandari kiasi kuwa inakuwa changamoto serikali wanayoiongoza kuiwezesha mamlaka ya bandari na mawakala wa meli kuwekewa framework/ mpango-kazi utaoongeza ufanisi wa shughuli zao kiushindani na uongeza mapato...
 

Msema kweli mpenzi wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…