johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa.... Mzee wa Mombasa Renatus Mkinga!Wajumbe wa Bodi
![]()
Prof. Tadeo Andrew Satta
Mwenyekiti wa Bodi
Soma zaidi.
Mjumbe wa Bodi Mr. Ngosengwa D. Mchome![]()
Soma zaidi.
![]()
Mjumbe wa Bodi Capt. Mussa H. Mandia
Mjumbe wa Bodi
Soma zaidi.
![]()
Mjumbe wa Bodi Mr. Renatus Mkinga
Mjumbe wa Bodi
Soma zaidi.
![]()
Mr. Said A. Nzori
Mjumbe wa Bodi
Soma zaidi
Source : Wajumbe wa Bodi |Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania
Habari zaidi:
Toka katika archives za intaneti
April 6 2021
"Jambo lililoniudhi zaidi kwa mwaka mmoja TASAC mmefanya vikao 23 vya bodi na imetumiwa karibu Sh600 milioni, ukiangalia kilichozungumzwa na tija ya vikao hivyo hakuna.” mwisho wa kumnukuu Mh. Rais Samia Suluhu Hassan .