Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
3 May 2021
Wadau waanika changamoto za forodha, TASAC, TPA na ICD-bandari Kavu kwa waziri Prof. Kitila
Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo amekutana na wadau wa Bandari kutoka katika sekta binafsi na kuwaeleza kuwa nia ya Serikali ni kuweka mazingira wezeshi na kwamba Serikali haiwezi kushindana na sekta binafsi.
Mawakala 800 wa forodha, wafanyakazi 10,000 wa sekta ya forodha mashakani kuanzia tarehe 15 May 2021 baada ya TASAC kuweka ukiritimba, bandari kavu (IDCs)kama za Kwala, Isaka, Kigoma, Nyanda za Kusini Mbeya zipo tupu, transporters wafunguka mchango wao ktk usafirishaji ikiwa serikali itaweka mazingira rafiki na shindani bandari za Tanzania na TASAC kuvutia wateja toka nchi kama Malawi, Zambia, Burundi , DR Congo waache kutumia bandari za nchi jirani.
Wadau wa huduma walia kuhusu sheria ya kuanzishwa TASAC ibara ya 7 kuwa inaleta ukuritimba bila TASAC kuwajibikaji wakichelewesha huduma :
Source : mwananchi digital
No hurry in Africa.