hivi kama ana watoto wa kiume, angejisikiaje kusikia kuna mtu kamwingiza chupa kwenye haja kubwa? angeumiaje, na anadhani huyo mtoto hana wazazi wenye uchungu kama yeye alivyo na uchungu kwa watoto wake, na kwa mwanaume hiyo ni embarrassment mbaya kuliko zote anafikiri yule dogo anajisikiaje. though naiomba serikali ichunguze kwa makini, hiyo ni tuhuma kubwa, lazima ukweli ujulikane. ila najua hadi mama kamsimamisha, majasusi wake watakuwa wamempelekea taarifa kwamba ni kweli kafanya, asingemsimamisha kama asingekuwa na uhakika.