Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
namuonea huruma, angetumia hekima asingefika kote huku. ila sheria ni msumeno.Tunaposema Sheria ni msumeno ni lazima ionekane !!.
Siwezi kufurahia Hatua ya Rais Samia , hatua inayofata ,SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE.
Hii tabia wanao hawa watu wanaojiita Viongozi, ni vile hayasemwi yaliyo yao.
GEKUL ashitakiwe !!.
Yatajulikana usitoe muelekeo wa investigationKuna vijana alikuwa nao ndio waliwaingizia chupa....sio polisi ..hao vijanavwakamatwe haraka.....
KabisaaSabaya alitenda ukatili yuko nje sasa, Makonda alisemwa kwa mengi karudi kwenye system tayari
Huyu nae jipeni muda mtamuona anarudi kwenye system akiwa ngangari kama hakuna kilichotokea
Nchi yetu viongozi ni wale wale kana kwamba hakuna wanaozaliwa. Mungu ibariki Tanzania
Toto pendwa hilo linadekezwa kama yaiVipi kuhusu Bashite??
Kazi itakuwa kubwa kuthibitisha hilo….Tunaposema Sheria ni msumeno ni lazima ionekane !!.
Siwezi kufurahia Hatua ya Rais Samia , hatua inayofata ,SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE.
Hii tabia wanao hawa watu wanaojiita Viongozi, ni vile hayasemwi yaliyo yao.
GEKUL ashitakiwe !!.
Wakili (utetezi): CHUPA ILIKUA ya UKUBWA GANI?Kafanya nini?
Updated 23:12 hrs na kideo nilichokutana nacho
View: https://youtu.be/04BSzpoa6xo?si=GEzlWJTxVjg-OFcc